Ile harusi ya Uwoya na Dogo Janja ni shooting ndani ya wimbo wa msanii Keisha

Ile harusi ya Uwoya na Dogo Janja ni shooting ndani ya wimbo wa msanii Keisha

Kweli umbea ulikuwa na cord za ajabu.
Wambea wooote walikuwa hawajagundua
 
Kupita skendo hii nimejua mengi
Ana file Mwananyamala anachukua dozi
Mabwana zake watatu washakufa kwa ngoma
mchezo WA kupakuliwa Ndio kawaida yake .
Ukiambiwa ueke ushaid utasema unaonewa..jitahid kuwa na akiba ya maneno
 
hata wewe nahisi ujanielewa..soma tena
Nimekuelewa vizur Ndio maana nikamwambia Soma uwelewe . Umenishutumu wakati Mimi nimesema kwakupitia skendo hii nimejua yote hayo kutokana na michango iliyotolewa Kwenye post zilizopita tumejua hata tusivovijua.
 
sawa na ulivobahatika kujua hivo vitu ulijaribu kuthibitisha kama vina ukweli?
 
Ndiku imemchoma mpaka nae akapost,kwa hakika hapa utamjua mwanaume mkurupukaji na ni dhahiri kua Ndiku bado anampenda uwoya ila ndio vile tena ma Dada wa kibongo ni kama ungo na kibeku
Wanasema never celebrate or giveup too early,,,hahaha amekua na hraka ya kureact
 
Hahahahaa wewe mtu
Aisee siyo siri utapata.

Kuna dada wako ofisini wakawa wanaongea Irene Uwoya kaolewa na dogo janja, mi nikakaa zangu kimya, baadae ndo nikawaambia hakuna kitu kama hicho, nikashusha nondo zako zile, nikaonekana nina taarifa exclusive kabisa.
 
Back
Top Bottom