Ile harusi ya Uwoya na Dogo Janja ni shooting ndani ya wimbo wa msanii Keisha

Ndiku imemchoma mpaka nae akapost,kwa hakika hapa utamjua mwanaume mkurupukaji na ni dhahiri kua Ndiku bado anampenda uwoya ila ndio vile tena ma Dada wa kibongo ni kama ungo na kibeku
duu umeongea ukweli mbaka basi jamaa kateteleka kishenzi wakati wataalam tulihisi mda mrefu hii ni kiki na ni wimbo coz wasanii watupu pale
 
dogo anakula mzigo ...ametomba tangu jumamosi hadi leo jumatano..nyie mnapiga porojo hapa
 
Uyowa ushamba wake alivyosikia Ndikumana anacheza mpira Ulaya akaona, haa wakina Cristiano Ronaldo watanijua mwaka huu, kumbe jamaa anacheza mpira Kajamba Nani Ugiriki huko. Afadhari ingekuwa Genk kama Samatta.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…