duu umeongea ukweli mbaka basi jamaa kateteleka kishenzi wakati wataalam tulihisi mda mrefu hii ni kiki na ni wimbo coz wasanii watupu paleNdiku imemchoma mpaka nae akapost,kwa hakika hapa utamjua mwanaume mkurupukaji na ni dhahiri kua Ndiku bado anampenda uwoya ila ndio vile tena ma Dada wa kibongo ni kama ungo na kibeku