kmbwembwe
JF-Expert Member
- Aug 16, 2012
- 10,892
- 7,780
Kuna ile kandarasi ya mfumo wa usimamizi wa uongozi ya wahindi tanesco ingefaa sasa isimamishwe.
Januari makamba alipopewa uwaziri moja ya mambo ya ubadhirifu wa fedha za umma ni kuipa kampuni ya kihindi kuweka mfumo wa tehama kusimamia uongozi Tanesco.
Kwanza kuna hisia utaratibu haukufuatwa lakini kubwa hapakua na ulazima kuwapa wahindi hiyo kandarasi kwa sababu kuna uwezo Tanzania.
Ukweli kampuni zenze uwezo za wanataaluma wazalendo wazuri kwenye tehama wapo nchini. Hata mheshimiwa mama rais samia analitambua hilo. Leo akifungua chama cha mawakili wa serikali kasifia uwezo wa wanatehema wa tanzania baada ya kuambiwa mfumo wa usajili wa wanachama wa chama anachokizundua umetengenezwa na Watanzania.
Hakuna ubishi kwa hili wanatehema wazalendo wameweza kutengeneza mifumo ya hali ya juu mingi nchini.
Ninachosema hapa vigogo wenye kurukia wageni mara nyingi wana nia mbaya tu kwa taifa. Kwa hivyo inafaa kandarasi ya wahindi tanesco kuchunguzwa gharama yake na kama kuna lazima kuendelea nayo.