Pdidy
JF-Expert Member
- Nov 22, 2007
- 57,951
- 32,619
Naona maoicha picha yanaendelea
Wale.waliokuwa wanangalia star TV juzi walimhoji Tondu Lissu
Moja ya maswali alibanwa michango ya join the chain iko sh ngapi
Akaruka akasema hii anawezajibu katibu na mweka hazina hawa ndio wahusika wakuu
Leo naona anajiuzulu
Asemeeee wazi michango I.efika sh ngapi??na huo wizi umepigwa wapi??
Ama karukwa ndio anapiga kelele
Kituo kinachofwata