Ile mikokoteni ya kukokotwa na bodaboda tuliyoambiwa inatengenezwa kuzuia ajali iko wapi?

Ile mikokoteni ya kukokotwa na bodaboda tuliyoambiwa inatengenezwa kuzuia ajali iko wapi?

NGOSWE2

JF-Expert Member
Joined
Dec 19, 2013
Posts
1,323
Reaction score
1,608
Habari wadau!

Moja kwa moja kwenye mada.
Ile mikokoneni imeishia wapi?
Tuliambiwa kuwa kuna jitihada zinafanywa na serikali za kuzuia ajali zinatokana na bodaboda kwa kuwatengenezea mikokoteni.

Hivi karibuni tumesikia takwimu za vifo vilivyosababishwa na bodaboda zilizotolewa Bungeni, hii imenisitua sana.
Tuliambiwa itakuwa lazima kila bodaboda kuwa nayo ili kudhibiti ajali.
Hiyo mikokoteni iko wapi tena?
 
Back
Top Bottom