Nigrastratatract nerve
JF-Expert Member
- Sep 4, 2019
- 1,521
- 4,381
Nchi ya kusadikika imesikika ikitoa msaada kwa nchi fulani hivi ya kwenye uso wa Dunia ukizingatia hakuna cha bure lakini yote kwa yote watakuwa wanenufaika na yanayoendelea katika nchi ya kisiwa cha wami ambayo iko pande hivi za Dunia
Wagawiaji wamenufaika na mikakati yao ya kuiweka Ile nchi kwenye totoro giza.
Wagawiaji wamenufaika na mikakati yao ya kuiweka Ile nchi kwenye totoro giza.