zoezi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mlinzi Shujaa_

    JamiiForums Tanzania Zoezi la kuruka kamba na faida zake

    Zoezi la kuruka kamba " rope skeeping" huimarisha mwili na kuunya uwe na nguvu nyingi zaidi, hupunguza mafuta mabaya mwilini na kumfanya mtu awe mwembamba na mwenye muonekano mzuri, huongeza pumzi nakumfanya mtu awe nauwezo wa kufanya kazi kwa muda mrefu bila kuchoka, huimarisha nguvu za...
  2. Mlinzi Shujaa_

    JamiiForums Tanzania Zoezi la kuimarisha tumbo

    Sit ups - zoezi hili huimarisha tumbo na kuondoa kitambi cha chini, aidha huongeza nguvu za mwili na kumfanya mtu awe kama roboti kwa uimara wa mwili.
  3. M

    JamiiForums Tanzania KERO Tarime: Malalamiko kuhusu ukosefu wa uwazi na haki katika zoezi la upimaji wa madini Kijiji cha Nkerege

    Ninaandika kama mwananchi wa Kijiji cha Nkerege, Wilaya ya Tarime, kueleza masikitiko yangu kuhusu namna zoezi la upimaji wa madini lilivyotekelezwa katika kijiji chetu na utaratibu uliotumika kugawa fidia kwa Wananchi walioathirika. Kabla ya zoezi kuanza, kulikuwa na makubaliano kwamba...
  4. Wizara ya Ardhi

    JamiiForums Tanzania Wananchi Kigoma wapokea kwa kishindo zoezi la uhakiki wa taarifa za uthamini, waliobaki wahimizwa kuhakiki

    KIGOMA: Wananchi wa Mkoa wa Kigoma wamehimizwa kutumia kikamilifu zoezi la kuhakiki taarifa za mali zao na kutoa maoni pale wanapoona kuna taarifa ambazo hazijaandikwa kwa usahihi katika mchakato wa uthamini. Mthamini Mwandamizi kutoka Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Rashid...
  5. Wizara ya Ardhi

    JamiiForums Tanzania DC Gowele ataka uangalifu zoezi la fidia TSF-North Mara

    DC GOWELE ATAKA UANGALIFU ZOEZI LA FIDIA TSF-NORTH MARA TARIME Mkuu wa Wilaya ya Tarima mkoani Mara Mhe. Meja. Edward Gowele, amewaagiza viongozi wanaosimamia zoezi la uthamini wa fidia eneo la mradi wa ujenzi wa Bwawa la TSF-North Mara kuwa makini dhidi ya wananchi wanaojiingiza katika maeneo...
  6. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania TANROADS: Zoezi rasmi la tathmini upanuzi wa barabara ya Kibaha - Morogoro litaanza Agosti 2026

    Wakala ya Barabara Tanzania (TANROADS) imetoa ufafanuzi kuhusu hoja iliyotolewa na Mdau wa JamiiForums.com aliyeandika "TANROADS ilipima makazi yetu kupitisha Barabara ya Njia Nne (Kibaha - Morogoro) mpaka sasa kimya, kama mradi haupo watuambie" TANROADS imeeleza "Zoezi la awali lililofanyika...
  7. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais, Dkt. Mayungi ashiriki zoezi la usafi Mkoa wa Mbeya

    Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais, Dkt. Richard Mayungi, ameshiriki zoezi la usafi katika Mkoa wa Mbeya pamoja na Balozi wa Mazingira Tanzania, Michael Msechu, vijana wa vyuo, wafanyabiashara wa eneo la Kabwe Standi, viongozi wa chama pamoja na madiwani. Zoezi hilo limeendelea kuhamasisha...
  8. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Zoezi la kubadili TAHASUSI na kozi za vyuo vya kati kwa wanafunzi waliohitimu kidato cha nne lafunguliwa

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu -TAMISEMI, Prof. Riziki Shemdoe amesema kuwa, zoezi la kubadilisha tahasusi na kozi za vyuo vya kati kwa wanafunzi waliohitimu kidato cha nne mwaka 2025 limeanza rasmi Aprili 11, 2026 na litahitimishwa Mei 10, 2026. Prof. Shemdoe amesema hayo leo Aprili 11...
  9. MamaSamia2025

    JamiiForums Tanzania Ommy Fitness: Kukimbia ni zoezi baya sana lisilofaa kufanywa. Halina msaada

    Kwa mujibu wa huyu mtaalamu wa mitandaoni KUKIMBIA ni zoezi baya sana lisilofaa. Sababu aliyotoa ni kuwa mbona wanyama hawafanyi mazoezi ya kukimbia na wana spidi kali kuliko sisi?.. Unakubaliana naye? https://www.facebook.com/share/v/1ZnKNHuYMT/
  10. H

    JamiiForums Tanzania Dkt. Mwigulu ashiriki zoezi la upandaji miti, Dodoma

    DKT. MWIGULU ASHIRIKI ZOEZI LA UPANDAJI MITI, DODOMA Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba leo Januari 27, 2026 ameshiriki zoezi la upandaji miti, mbele ya ofisi ya Waziri Mkuu Mlimwa Jijini Dodoma. Zoezi hilo ni sehemu ya hatua ya kumuunga mkono Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia...
  11. A

    JamiiForums Tanzania Msaada ulaji mzuri katika zoezi la kushusha presha

    Assalam alykum,bwana yesu asifiwe,hali zenu ndugu wana jamvi kwa upole sana naomba munipe maelekezo juu ya ulaji wa matunda wakati nipo katika hali ya kupambana kushusha presha je ni matunda yote naruhusiwa kula km ndizi,tikitik naomba kuelekezwa
  12. JOHNGERVAS

    JamiiForums Tanzania Mrejesho wa Zoezi la Kutoa Tabasamu Tarehe 24 Desemba

    Nilikuja na post Zawadi yangu ya kuzaliwa: Kuwapa wengine tabasamu Jioni ya juzi, tarehe 24 Desemba, nilihitimisha safari yangu ya kuwasaidia familia kadhaa. Ingawa hazikuwa nyingi, familia wachache tulizozitembelea walifurahia msaada wetu. Kila familia ilipokea mchele, sukari, na kuku mmoja...
  13. Keynez

    JamiiForums Tanzania Nafanya zoezi kubwa la kuwatambua waliochochea vurugu

    Niliwahi kuonya kuwa maandamano kama yale ya 29/10/2024 yangepata ugumu kufanikiwa kwa sababu wanaopanga walitangaza muda mrefu na kuwapa upande wa pili muda na nafasi ya kujipanga kwa Plan A, B, C hadi D. Nina theory moja ambayo ninayo na naendelea kuifanyia kazi inayosema kuwa baada ya vyombo...
  14. B

    JamiiForums Tanzania GE2025 Tanzania yasitisha zoezi la kuhesabu kura kufuatia ghasia na maandamano

    Tanzania yasitisha zoezi la kuhesabu kura kufuatia ghasia na maandamano yanayopinga utawala wa Samia https://m.youtube.com/watch?v=HtoIA-AVb18
  15. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mainstream Media zinafanya upotoshaji kwa kuripoti zoezi la kupiga kura ili watu wasijitokeze barabarani

    Wakuu, KInachoendelea wakati huu media hizi kubwa kubwa zinapost taarifa wakati huu zikiripoti hali na shwali na zoezi la kura linaendelea vizuri, wengine wanasema polisi wamezuia waandamanaji wakati sio kweli. Taarifa zinasambazwa ili umma ujue wananchi hawajatoka barabarani kuzuia uchafuzi...
  16. R

    JamiiForums Tanzania Zoezi la kuhesabu kura linaendelea Cameroon huku Upinzani wakilalamika kupewa vitisho

    Zoezi la kuhesabu kura linaendelea nchini Cameroon kufuatia uchaguzi wa urais uliofanyika Oktoba 12, 2025, ambapo Rais aliyepo madarakani, Paul Biya, anatafuta kuendelea kushikilia madaraka baada ya miaka 43 uongozini. Biya, mwenye umri wa miaka 92 na anayejulikana kama Rais mzee zaidi...
  17. DuaZaMama

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jeshi la Ulinzi la Kenya (KDF) linatekeleza zoezi la ajira kitaifa Oktoba

    Jeshi la Ulinzi la Kenya (KDF), kupitia taarifa iliyotolewa Jumapili, Septemba 14, linasema kuwa zoezi hili litalenga kuajiri Wakandarasi wa Huduma za Kawaida (GSO) – kwa kawaida na wahitimu wa vyuo vikuu, Wakandarasi Maalumu, Wajibu wa Kawaida, Wafundi wa Kazi na Wanawake, pamoja na Askari wa...
  18. matunduizi

    JamiiForums Tanzania Nakumbusha: Kutembea kwa miguu ndio zoezi bora na salama, kukimbia ni kujizeesha kwa hiyari

    Tembea KWA miguu umbali wa kukutosha. Kama Kuna vilima na miinuko itakuwa Bora zaidi. Kama huna muda, paki gari yako mbali au shuka KITUo kimoja au viwili kabla ya eneo lengwa Tembea KWA miguu kikakamavu. Utanishukuru. Mwili utabaki Bora na IMARA na mvuto hautapotea kama mkimbiaji na zile apps...
  19. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania GE2025 Videos: Vurugu za wanaCCM kwenye zoezi la uteuzi wa wagombea ubunge sehemu mbalimbali nchini

    Chama kimekatika na hakuna wa kukemea. Tararibu zimekiukwa kila mahali Kuna uwezekano wa watu zaidi kuumizwa na mali zaidi kuharibiwa.
  20. Kazanazo

    JamiiForums Tanzania Fanya zoezi hili kama unajihisi una tatizo la kumwaga haraka wakati wa tendo

    Hili ni moja ya zoezi dogo sana lakini ukilifanya mara kwa mara na ikawa mazoea huleta matokeo chanya, zoezi lenyewe:- Ukitaka kwenda haja ndogo yaani kukojoa kwanza usikojoe kwa kusimama fanya kuchuchumaa kisha wakati wa kumwaga mkojo usiutoe moja kwa moja hata kama umekubana kiasi gani fanya...
Back
Top Bottom