Nafanya zoezi kubwa la kuwatambua waliochochea vurugu

Nafanya zoezi kubwa la kuwatambua waliochochea vurugu

Keynez

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2007
Posts
3,809
Reaction score
6,948
Niliwahi kuonya kuwa maandamano kama yale ya 29/10/2024 yangepata ugumu kufanikiwa kwa sababu wanaopanga walitangaza muda mrefu na kuwapa upande wa pili muda na nafasi ya kujipanga kwa Plan A, B, C hadi D.

Nina theory moja ambayo ninayo na naendelea kuifanyia kazi inayosema kuwa baada ya vyombo husika kugundua uwezekano wa maandamano kukua taratibu kwa jinsi muda ulivyokuwa unakwenda, Plan B ilikuwa ni kutumia mamluki watakaopandilizwa katika hayo maandamano ili kuchochea vurugu (na kubadili malengo na focus ya mandamano yenyewe) na wapate kisingizio au "justification" ya kutumia nguvu za ziada kuyazima.

Ili ku prove theory yangu, nimekusanya video nyingi sana na picha za polisi na watendaji wengine wa vyombo za kipindi cha nyuma na pia nimekusanya na naendelea kukusanya video nyingi inavyowezekana za siku mbili za maandamano.

Natumia Artificial Intelligence (AI) Model moja ambayo sitaitaja jina kwa sasa kumatch sura za watu ili kuwabaini mapandikizi hayo yaliyochomekwa katika maandamano hayo na hivyo kutambua mchango wao kwa kile kilichotokea.

Nategemea hili zoezi kuchukua muda kidogo ila nina imani litafanikiwa.

Update zaidi zitafuata.
 
Mbona unasumbuka sana,Waliochochea vurugu wapo maofisini na wanalipwa mshahara na kabisa
1.Polisiccm
2.Usalama uchwara miwani nyeusi
3.Wasiojulikana(Mafwele na genge lake)
4.Mwambegele na genge lake
5.Wahuni wa Sisiem wakiongozwa na Chura na Msoga
6.Wateule wa chura aka machawa wa ofisini
 
Mbona unasumbuka sana,Waliochochea vurugu wapo maofisini na wanalipwa mshahara na kabisa
1.Polisiccm
2.Usalama uchwara miwani nyeusi
3.Wasiojulikana(Mafwele na genge lake)
4.Mwambegele na genge lake
5.Wahuni wa Sisiem wakiongozwa na Chura na Msoga
6.Wateule wa chura aka machawa wa ofisini
Tunahitaji vithibitisho visivyo na shaka ili kuwavua nguo.
 
Back
Top Bottom