Roving Journalist
JF Roving Journalist
- Apr 18, 2017
- 5,352
- 15,876
Wakala ya Barabara Tanzania (TANROADS) imetoa ufafanuzi kuhusu hoja iliyotolewa na Mdau wa JamiiForums.com aliyeandika "TANROADS ilipima makazi yetu kupitisha Barabara ya Njia Nne (Kibaha - Morogoro) mpaka sasa kimya, kama mradi haupo watuambie"
TANROADS imeeleza "Zoezi la awali lililofanyika lilikuwa ni preliminary valuation (uthamini wa awali) kwa ajili ya maandalizi ya mradi. Zoezi rasmi la tathmini ya mali za waathirika litaanza mwezi Agosti 2026.
"Baada ya kukamilika kwa tathmini hiyo, watu wote watakaobainika kuathiriwa na mradi na kuhitajika kupisha ujenzi wa barabara watalipwa fidia kwa mujibu wa taarifa rasmi za uthamini na kwa kuzingatia sheria, kanuni na taratibu zinazotumika."
Hoja ya Mdau ~ TANROADS ilipima makazi yetu kupitisha Barabara ya Njia Nne (Kibaha - Morogoro) mpaka sasa kimya, kama mradi haupo watuambie