Kazanazo
JF-Expert Member
- Aug 16, 2023
- 7,875
- 12,665
Hili ni moja ya zoezi dogo sana lakini ukilifanya mara kwa mara na ikawa mazoea huleta matokeo chanya, zoezi lenyewe:-
Ukitaka kwenda haja ndogo yaani kukojoa kwanza usikojoe kwa kusimama fanya kuchuchumaa kisha wakati wa kumwaga mkojo usiutoe moja kwa moja hata kama umekubana kiasi gani fanya kuutoa kidogo kidogo hadi unaisha. Fanya hivyo kila ukienda haja ndogo na iwe ndio mazoea yako ifike kipindi huwezi toa mkojo moja kwa moja
Ni hayo tu