Hii kuchuchumaa ni kama wadada au?usikojoe kwa kusimama fanya kuchuchumaa
UbooHii ni mazoezi ya kukaz misuli ya uke kwa wanawake.
Mwanaume unachuchumaa unakaza nini?
I doubt itUboo
Aiseee so pussy means nothing 🤣🤣🤣🤣I doubt it
Men kegel exercise zinafanywa akiwa amechuchumaa?
Ila wanawake wanafanya wakiwa wamechuchumaa
Ukiachana na mzabzab mimi najikubali kibamia acha kiishi kama kilivyo
Ukiniwekea serengeti ya baridi hivi na mbuzi choma mixer ndizi mshale, pussy means nothing 😬
kutengeneza nyukilia tuwaachie waislael, sie tujikite kwenye kuijaza dunia na mbinu za kuwachakata wadada vzuri.Sehemu tulipofikia kama vijana hatari sana
Tena tunaogopeshana sio kdg as long iyo dakika chache nikitoa wazungu napata raha inatosha sas kujichosha yote ya nin tena ? 🤣🤣Kuhusu nguvu za kiume tunaogopeshana tuu ila mambo hayapo hvy mnavyotuaminisha
Mbupuu 😀🤣Hii ni mazoezi ya kukaz misuli ya uke kwa wanawake.
Mwanaume unachuchumaa unakaza nini?
Achana na hiyo, sio nzuri kubana mkojo mkuu.Nimejaribu kufanya hapa hadi mkojo kuja uishe nimetoa hadi machozi
Aisee! Vita bado ni mbichi
Kubana mkojo kusikotakiwa ni kule ambapo mkojo unakuuma ila huendi kukojoa either upo maeneo usiyoweza kwenda haja au vinginevyo ila kama unakojoa kitendo cha kuzuia mkojo na ukautoa kidogo kidogo sio kibaya yani sio Ile unatoa mkojo kama maji yanayo toka bombani hapana at least uwe unaukata kidogo kidogo hii kitu inaimarisha misuliAchana na hiyo, sio nzuri kubana mkojo mkuu.
Hiyo njia anayokuaminisha jamaa ni kua ubane hiyo mishipa ukiwa hauna mkojo na sio ukiwa na mkojo.
Ukiwa na mkojo utumie kuifahamu hiyo mishipa ili usipokua na mkojo uibane na kuiachi (tafuta mtandaoni mazoezi ya kegel)
Ikiwa utafanya hivi kwa muda fulani ni wazi lazima kutakuwa na athari fulani. Hasa kwenye ngozi ya uume na pengine inaweza kuleta madhara kwa ndani.Chukua colgate paka kwenye kichwa cha uume kaa kama dak 7 hadi 10 alafu osha vizuri, utapata moto sana kwenye kichwa cha uume, fanya hivyo kila siku mara moja kwa siku 5 alafu, kama una mechi fanya hivyo masaa 2 kabla, alafu leta matokeo hapa