johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Wanaombea afe kwa Coronavirus COVID-19 huko Arrika KusiniUnataka ndege ikamatwe na mkulima Stayn???
Ni kweli,serikali za ki Afrika hazieleweki.Serikali haina shamba la maua Wala kiwanda Cha kusindika minofu. Waliokodi hizo ndege ni wawekezaji wenyewe.
Ni vigumu kufanya kazi na ATCL maana ghafla unaweza kukuta wameitelekeza bidhaa yako Kisha ndege imeenda Dodoma kubeba makada wa CCM