Ile ngome imara ya clouds media kwisha habari yake

Lord Diplock MR

JF-Expert Member
Joined
Mar 16, 2015
Posts
1,393
Reaction score
3,237
Kuna kipindi wasanii walikuwa wanaogopa kushiriki shughuli na events za wasafi wakihofia Clouds Media lakini leo unaona hadi akina Nandy, Marioo wanashiriki matamasha ya wasafi daah mambo yanabadilika. Ile ngome imara ya Clouds media kwisha habari yake.
 
Huna ulijuwalo, Joseph Kusaga ni mmiliki wa Wasafi

Pole.
 
Ndio hivyo, Mali ya urithi!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…