Ile ngome imara ya clouds media kwisha habari yake

Ile ngome imara ya clouds media kwisha habari yake

Hata hapo Wasafi wanapangiwa dau. Dunia imejaa mburula sana, no wonder few people are filthy rich
Media kubwa iliyosikika ilikuwa moja ambayo ni clouds, inafanya usikike na kukunyonya, zingine zilipoingia ndo ushindani ukaanza
 
Kuna kipindi wasanii walikuwa wanaogopa kushiriki shughuli na events za wasafi wakihofia Clouds Media lakini leo unaona hadi akina Nandy, Marioo wanashiriki matamasha ya wasafi daah mambo yanabadilika. Ile ngome imara ya Clouds media kwisha habari yake.
Ongeza fid q
 
Back
Top Bottom