Ile ofa aliyotangaza Dr Ndodi Star tv ni utapeli mtupu

Ile ofa aliyotangaza Dr Ndodi Star tv ni utapeli mtupu

Hongera kwa kupata unafuu, ila mimi sijawahi kumuamini huyu bwana na daima namuona ni mganga njaa tuu kwa kuwa kuna wakati anapoteza hata muelekeo!!!msikilize mada anazozungumza siku hizi, kuna wakati anajifanya daktari, kuna wakati msahuri nasaha, kuna wakti muinjilisti yeye basi tabu tupu hajui hata anataka kufanya nini

nilipomuona dr ndodi anatangaza ofa ya kutibiwa bure kwa wote watakaoenda kupata tiba kwake kwa kulipia kiingilio tu cha sh.50,000/= nilijipa moyo kuwa tatizo langu la aleji litakuwa limepata ufumbuzi kutokana na sifa aliyokuwa nayo huyu bwana ndodi,.nilienda pale m/chai na kulipia hiyo 50,000 na kukutana na ndodi na alipa dawa na kuniambia kuwa nitatibiwa kwa wiki 15,.dawa za wiki ya kwanza zilivyoisha na kwenda kuchukua nyingine ndipo niliposhangazwa na madad wanaohudumia pale waliponitaka kutoa 50,000/= na kusisitiza kuwa kila wiki ninayokwenda pale ni lazima nilipie kiingilio cha 50,000 mpaka dozi ya wiki 15 iishe,..nilichoka na kugeuza zangu home,..ila frankly speaking kwa wiki moja niliyotumia dawa nilipata nafuu ya ajabu,..nashindwa kuendelea sababu ya ukata...
USHAURI:NDODI UWE UNATOA MATANGAZO YA MOJA KWA MOJA KULIKO KUTOA OFA ZA KULAGHAI WATU,..50,000/= imeliwa na dozi sijapata kamili,..iam sure iam not alone sababu kwa wale waliosikia na kumuona kwenye tv akitoa hiyo ofa watakubaliana nami alihaidi kutibu wagonjwa wote kwa 50,000 mpaka wanapona kabisa....loliondo ni 500,ila kwenda na kurudi gharama yake ni zaidi ya 500,000 mpaka unapata tiba...so disappointed
 
Mara zote nimeshasema na nasema tena Ndodi si Daktari wa kuhitimu bali ni mganga wa kawaida kama kina maji marefu na wengine kibao wanaoganga njaa mitaani. Tatizo langu ni kujificha nyuma ya pazia la dini ya kisabato ili kufanikisha biashara yake yenye chembe za utapeli ambao si tabia ya ki-Mungu.Inatisha kuona utapeli wake ukikubaliwa kirahisi nauongozi wa kanisa lake!
Hivi uongozi wa kanisa hilo hawalioni hilo? ina maana watawajibika kwa mapungufu yote yanayojitokeza kwa upande wa mtu huyo? Au kuna pasenti fulani ya mapato anawakatia viongozi hao!
Nawashauri wasabato kuwa makini na watu aina ya Ndodi wanaosaka umaarufu, heshima na utajiri, vitu ambavyo ni vya kidunia tu. Vinginevyo kuna siku zitagundulika kashfa nzito zitakazolichafua kanisa lao na hapo watakuwa wamechelewa kumkana maana mpaka sasa ni vigumu kutofautisha huduma anazotoa kama ni zake au kanisa.
Kwakifupi Ndodi ni tapeli la kawaida ambalo kanisani si mahali pake labda kanisa la ma Free masons.
 
nilipomuona dr ndodi anatangaza ofa ya kutibiwa bure kwa wote watakaoenda kupata tiba kwake kwa kulipia kiingilio tu cha sh.50,000/= nilijipa moyo kuwa tatizo langu la aleji litakuwa limepata ufumbuzi kutokana na sifa aliyokuwa nayo huyu bwana ndodi,.nilienda pale m/chai na kulipia hiyo 50,000 na kukutana na ndodi na alipa dawa na kuniambia kuwa nitatibiwa kwa wiki 15,.dawa za wiki ya kwanza zilivyoisha na kwenda kuchukua nyingine ndipo niliposhangazwa na madad wanaohudumia pale waliponitaka kutoa 50,000/= na kusisitiza kuwa kila wiki ninayokwenda pale ni lazima nilipie kiingilio cha 50,000 mpaka dozi ya wiki 15 iishe,..nilichoka na kugeuza zangu home,..ila frankly speaking kwa wiki moja niliyotumia dawa nilipata nafuu ya ajabu,..nashindwa kuendelea sababu ya ukata...
USHAURI:NDODI UWE UNATOA MATANGAZO YA MOJA KWA MOJA KULIKO KUTOA OFA ZA KULAGHAI WATU,..50,000/= imeliwa na dozi sijapata kamili,..iam sure iam not alone sababu kwa wale waliosikia na kumuona kwenye tv akitoa hiyo ofa watakubaliana nami alihaidi kutibu wagonjwa wote kwa 50,000 mpaka wanapona kabisa....loliondo ni 500,ila kwenda na kurudi gharama yake ni zaidi ya 500,000 mpaka unapata tiba...so disappointed

pole sana ndugu maandamano hata mimi pia nina tatizo kama lako nina aleji ya ngozi pamoja na kifua,punde tu baada ya kusikia ofa hiyo star tv sikufanya ajizi wiki iliyofuata nilifika pale Tai-five Mwanza,ghafla kiingilio kikawa kimepanda mpaka sh.50000 asubuhi hiyo hiyo niliyofika,lakini mpaka wakati anatangaza ofa kiingilio kilikuwa sh 20000, kufikia hapo tu,tayari mahesabu yangu ya pesa yakawa yamevurugika manake sikuwa peke yangu,tulifanikiwa kupata dozi ya wiki moja tu ,pesa haikutosha
MY TAKE
Nahitaji sana kupona,na mimi ni mdadisi kwa asili yangu,dawa nilizopewa ni mbili
1.sabuni-ina rangi ya kijani na bovu jingi ila sijajua bado aliitengeza kwa kuchanganya vitu gani
2.chupa ya plastiki yenye dawa yenye ujazo wa kama lita moja hivi au nusu lita,aliniambia nakunywa nusu glasi asubuhi na jioni,na karibu kila mtu/mgonjwa aliyekwenda pale siku hiyo alipewa hiyo dawa.dawa yenyewe ukiionja ina ladha ya utamu na uchachu kwa mbaali..sasa kwa mujibu wa uchunguzi nilioufanya nimegundua kitu,dawa hiyo imefanana sana harufu,ladha na rangi na dawa moja ya asili ya kichina nilishawahi kuinywa kwa siku kama mbili hivi huko arusha lakini nikaiacha na kusafiri ghafla kurudi nyumbani,na sijawahi kuipata tena..ni kitu kama uyoga hivi na kina shape kama chapati kubwa,mwenyeji wangu alikichukua na kukiweka kwenye sufuria na kisha kutia maji safi ya kunywa kiasi na baadae akafunika na kitambaa,baada ya siku kadhaa kama 7 hivi,alipofungua kitambaa tukakuta maji yamegeuka rangi na kufanana kama chai,halafu tukakuta ule uyoga umezaa tena uyoga mwingine,akaniambia huo uyoga wa pili unaweza ukampa hata jirani yako kama anataka kama hataki unaweza kuutupa.., akachukua yale maji akayachanganya na asali kidogo akanipa nikanywa...aliniambia hiyo ni tiba ya magonjwa sugu mengi sana yasiyo na idadi na unaweza kunywa tu hata kama huumwi kwani inaimarisha afya..sasa ndugu yangu maandamano nimeona niandike haya ili kama na wewe ulishawahi kusikia habari kama hii,tujadili vizuri na kupeana ujuzi,au kama bado utakuwa mwanzo mzuri tukisaidiwa na waungwana wenye utu,na uelewa mpana kuhusu magonjwa haya ya mzio/aleji ..
huyu bwana ndodi dawa anazotoa ni za uhakika mimi ni shuhuda..tatizo ni gharama na kama huna pesa hupati dawa!,utakufa na umasikini wako,
 
Back
Top Bottom