Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
muamala fc Aka makolo walihonga hukuona dk 85 kocha wa dodoma anapokea simu anashukuru pesa imewekwa benkyaani beki anadaka mpira kabisaaa tena ndani ya 18 utafikiri yeye ni kipa? takukuru sijui walikuwa wapi??
Simba wanapewa penati na marefariiyaani beki anadaka mpira kabisaaa tena ndani ya 18 utafikiri yeye ni kipa? takukuru sijui walikuwa wapi??
Ile penati ya Simba ni ya halali?
Ni kweli Simba walistahili mkwaju ule wa penati.
Sawa lakini lazima tuhofu kila siku wanapata penati wao tuBiashara alikula 3 bila na penati Kagere alikosa. Vipi hapo? Huo ni mfano mdogo tu.
Mkuu kabla ya kuandika chochote ni vema ukajifikirisha kwasababu unaweza kuwa unaheshimika sana humu jukwaani ila mambo madogo madogo yakasababisha kudharaulika.
Yanga hii ipo vizuri mayele ni straika sumbufu pale hakuna mchongo ni ushindi halali kwa kwenda mbeleKumbuka na goli la Mayele alipewa Pasi na mchezaji wa geita gold mine. Nao ulikuwa mchongo?
Kwani Simba ipo vibaya? Kwanini ikiwa kwa Yanga ni halali lakini ikiwa kwa Simba ni tatizo?.Yanga hii ipo vizuri mayele ni straika sumbufu pale hakuna mchongo ni ushindi halali kwa kwenda mbele
Kumbuka na goli la Mayele alipewa Pasi na mchezaji wa geita gold mine. Nao ulikuwa mchongo?
Simba ya msimu huu wenyewe mnaijua...si mmesikia tokea msimu huu uanze hamjatoa mchezaji bora wa mwezi wala kocha bora wa mwezi wa tffKwani Simba ipo vibaya? Kwanini ikiwa kwa Yanga ni halali lakini ikiwa kwa Simba ni tatizo?.
Niliwatahadharisha wapenda SOKA na viongozi wa Dodoma Jiji Fc,pale walipoweka Kambi hapakuwa salama.Vijana walikuwa wamezagaa,wanaintract na kila aliyeingia nikasema kalaghabhaoooNi kweli Simba walistahili mkwaju ule wa penati.
Lakini swali fikirishi ni kwa yule mchezaji wa Dodoma jiji ile jinsi alivyoushika ule mpira.
Ni wazi ilionekana ni maksudi alifanya kitendo kile
Swali linakuja
Kwanini aliushika mpira ule kwa kudhamiria ilihali akijua yupo ndani ya box?
Je,si mipango ile?
Chupa liliamka na chai,hii nahau nimeisikia Jana usiku kwa mara ya kwanzaHahhahahhahaaa mpango wake ule alijua mzamiru akipita watapata maafa akaona bora adake akijua simba inakosaga penati kumbe chupa liliamka na chai.