Ile penati ya Simba ni ya halali?

yaani beki anadaka mpira kabisaaa tena ndani ya 18 utafikiri yeye ni kipa? takukuru sijui walikuwa wapi??
 
yaani beki anadaka mpira kabisaaa tena ndani ya 18 utafikiri yeye ni kipa? takukuru sijui walikuwa wapi??
muamala fc Aka makolo walihonga hukuona dk 85 kocha wa dodoma anapokea simu anashukuru pesa imewekwa benk
 
Biashara alikula 3 bila na penati Kagere alikosa. Vipi hapo? Huo ni mfano mdogo tu.

Mkuu kabla ya kuandika chochote ni vema ukajifikirisha kwasababu unaweza kuwa unaheshimika sana humu jukwaani ila mambo madogo madogo yakasababisha kudharaulika.
Sawa lakini lazima tuhofu kila siku wanapata penati wao tu
Inasemekana hadi sasa wana penati 13!
 
Kumbuka na goli la Mayele alipewa Pasi na mchezaji wa geita gold mine. Nao ulikuwa mchongo?
Yanga hii ipo vizuri mayele ni straika sumbufu pale hakuna mchongo ni ushindi halali kwa kwenda mbele
 
Yanga hii ipo vizuri mayele ni straika sumbufu pale hakuna mchongo ni ushindi halali kwa kwenda mbele
Kwani Simba ipo vibaya? Kwanini ikiwa kwa Yanga ni halali lakini ikiwa kwa Simba ni tatizo?.
 
Kwani Simba ipo vibaya? Kwanini ikiwa kwa Yanga ni halali lakini ikiwa kwa Simba ni tatizo?.
Simba ya msimu huu wenyewe mnaijua...si mmesikia tokea msimu huu uanze hamjatoa mchezaji bora wa mwezi wala kocha bora wa mwezi wa tff
Maana yake simba hii haiko sawa
..sasa hivi kapombe majeruhi timu haipandi!
 
Niliwatahadharisha wapenda SOKA na viongozi wa Dodoma Jiji Fc,pale walipoweka Kambi hapakuwa salama.Vijana walikuwa wamezagaa,wanaintract na kila aliyeingia nikasema kalaghabhaooo
 
Uelewa mdogo Sana,mleta mada hajasema penati haikuwa halali,yeye kahoji kitendo cha mchezaji wa Dodoma Jiji Fc kunawa mpira kwa makusudi ilhali akijua yuko ndani ya penati box.Mleta mada hajatilia shaka maamuzi ya kutoa penati na hajailaumu Simba Wala Dodoma Jiji Fc anahoji kitendo mchezaji kucommit such a grave mistake ndani ya penati.
 
Kwenye fainali ya Mapinduzi cup Zanzibar huwa pia nahoji alichofanya Mathias Chigonya,je,alipata temporal insanity au?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…