Ile Ripoti nyingine... ya 2006

Unajua tatizo ni kuwa hizi milioni 133 zilizoibwa hazikugunduliwa na uchunguzi wa Ernst & Young zilikuwa zinajulikana na kina Mzindakaya even before E&Y report... na kwa hakika zilikuwa zinajulikana na Mkaguzi Mkuu wa serikali.. why not take action?

..why take action when you can be comfortable taking "action"?

..just saying!
 

..you are dreaming,right?

..nani mwenye uwezo wa kuwaita hao atawaita?
 
Unajua tatizo ni kuwa hizi milioni 133 zilizoibwa hazikugunduliwa na uchunguzi wa Ernst & Young zilikuwa zinajulikana na kina Mzindakaya even before E&Y report... na kwa hakika zilikuwa zinajulikana na Mkaguzi Mkuu wa serikali.. why not take action?

Lakini MKuu hii ripoti imetolewa tarehe 26 Machi 2008, baada ya mambo yote kuwekwa hadharani. Huyu Mkaguzi na Mdhibiti Mkuu wa mahesabu ya Serikali ameingiza kipengere hiki baada ya kushtuliwa na hizo ripoti za ukaguzi maalumu, yeye alisha prove failure huko nyuma (otherwise tupate ripoti yake ya mahesabu yaliyoishia 30 June 2006 siyo hii ya mahesabu yaliyoishia 30 June 2007.
 
Nimeikuta hii kwa Michuzi kuhusu utetezi wa Ballali, ukiisoma sasa inachekesha maana jamaa alikuwa anakataa mambo ambayo anajua amefanya.
Mtanzania,

Umenikumbusha mbali kweli. Hahaha kipindi hiki nakumbuka nilijing'ata kidole kwa kufikiria huyu jamaa kama yuko serious. Nikaongea na wadau kadhaa wakasema "Mwache tu, muda utajiri atajua mwenyewe kuwa hatujalala".

Ngoja nipitie kidogo tu...

gavana wa benki kuu mh. daudi balali amemaliza mkutano wake na waandishi wa habari hivi punde na kwa haraka haraka nawapa pinti kadhaa za yaliyojiri.
Nahisi nilikuwepo!

I see, hii ilisemwa naye. I kept silent either.

2. amesema hawezi kujiuzulu ili kupisha uchunguzi unaoendelea kwani haiwezekani mtu akaachia ngazi kwa tuhuma na uzushi ambazo sio tu hazina uhakika bali zinachunguzwa ili ukweli ujulikane.
Lakini baadae alijiuzulu tena kwa maandishi... Ndivyo walivyo! Kila kitu online ni uzushi tu. Hawataamini, si ajabu. Watakuwa wanatoa majibu ya hivi hivi...

Ofcourse ufisadi hapo BoT ulianza siku nyingi tu. Na hata hii ya enzi za Balali ni cha mtoto, japo ndiyo tunayoishikia bango kwani wahusika wengi tunao karibu.

Hahahaha, I see... No comment!

5. pia amesema huyo mtu ambaye kasambaza waraka kwenye mtandao hamjui ila alimtaja kuwa si mzalendo, ana chuki binafsi na mbinafsi.
Tena mzandiki. Lakini ukweli unabakia pale pale kuwa kila penye ukweli uwongo hujitenga. Maneno kama haya kutoka kwa baadhi ya viongozi yamekuwa kama kawaida na hasa pale ulaji wao unaponuswanuswa. Utaitwa majina kedekede... Mzandiki, mnafiki mkubwa, mkosa uzalendo, mwenye chuki na maendeleo yao n.k. Mungu pekee ndiye mjua ukweli.

6. gavava bilali pia alizungumzia hali ya uchumi ni nzuri na kwamba hali ya inflesheni hadi jaanuary 1995 imedondoka hadi asilimia 9.1 na ilipanda hadi asilimia 6.1 hadi April 2007 na kufikia 5,0 mwezi mei mwaka huu.
I see... That's great, and we can see some changes tangu kelele hizi (za chura) zianze.

7. pia amesema akiba ya taifa ya fedha ya kigeni imepanda toka dola 270 milioni mwisho mwa 1995 hadi kufikia dola 2,260 milioni ambayo inatosha kukava kwa angalau miezi 5
No comment!
 
huwezi kushinda uchaguzi kwa kuwaambia wananchi eti pesa zimeibiwa bank na kwenye mashirika ya umma.watoto wanapowatumia pesa wazazi wao vijijini kwa ajili ya matumizi basi kwao maisha wa watoto wao chini ya utawala wa ccm ni mzuri.labda tutafute sababu nyingine
 



Invinsible

Hii ripoti bado kabisa, hii ni sehemu ndogo tu ya ufisadi hapo BOT.

Hebu tutafutie vibao vifuatavyo tumalize kazi

1. Internal report ya BOT kuhusu madeni ya EPA ya mwaka mmoja kabla ya huu mwaka unaohusika kwenye hii ripoti. Mkapa anahusika moja kwa moja

2. Memo ya ndani kuhusu kukuzwa kwa gharama za yale majengo pacha, ripoti inayozungumzia hatua ambayo mchakato wa ujenzi ulipofikia na mapungufu yaliyopo.

3. Taarifa ya BOT kuhusu Meremeta na Tangold, itafute taarifa ya mkaguzi wa awali wa mahesabu ya BOT ambaye aliondolewa kwa shinikizo

4. Memo ya Balalli kuhusu Deep Green Finance limited.

Hapo ndipo yalipo maufisadi makali zaidi na humo ndipo tutaipata the axis of corruption.

Hii hapa ni sehemu ndogo sana, ilitolewa kuwazamisha wachache kufunika vigogo wenyewe

Asha
 
Kifupi niseme... Be right back. Una hakika hivi vikija mtalonga?
 
mwaiona ngondo hiyo... ngondo.. hiyo.. mwafunga milango!
 
Tangu lini FISADI akajikamata mwenyewe? Kwa maoni yangu, JK kashindwa nchi kabisa. Yeye alifikiri kazi ya urais ni kuhudhuria mikutano, makongamano na kusafirisafiri kwenye Jet yake. Maisha ya Mtanzania wa kawaida yanazidi kuwa magumu, hakuna responsibility serikalini. Wanajifanya kuitisha mkutano wa Nec (SISIEMU) kujadili KILIMO ni utumbo mtupu. Tupeni majibu ya Uchunguzi wa EPA pamoja na Kamati ya Mh. Pinda kujua ni nini kinaendelea. Hii tabia ya kulindana hataweza kuisha hadi JK pamoja na SISIEMU yake watakapong'olewa.
Ndulu hana jipya hapo BOT maana yeye alikuwa msaidizi wa Balali, na ninaamin i katika masuala mazito especially pesa za wananchi kuzitolea maamuzi naye alikuwemo. So wasitudanganye hapa, it's the same #&%t.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…