Ile safari ya Arsenal kutokuchukua ubingwa inaanza leo kwa kichapo pale Anfield

Ile safari ya Arsenal kutokuchukua ubingwa inaanza leo kwa kichapo pale Anfield

wote tumekubaliana kuwa Arsenal hatobeba ndoo. Basi katika ile safari yake ya kutochukua ubingwa leo pale Anfield atachapika magoli 2-1. Kama unabisga subiria dakika 90.
Kaague tena umekosea kuangalia
 
Tafuta hela nyama wewe[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Arsenal kadondosha alama, huenda wakaishia nafasi ya 2 kwenye ligi maana kwenye makombe mengine Arsenal waneshapigwa ngumi sugunyo
 
Back
Top Bottom