NetMaster
JF-Expert Member
- Sep 12, 2022
- 1,454
- 4,925
Ni sehemu flani ipo Iringa umbali mfupi kabla ya njia ya barabara ile inayopanda kwenda mjini,
wenye magari binafsi hasa waliotokea Dar, Moro, Dodoma wakifika hio sehem husimama kwenda kununua mikate.
Hata kuna kipindi mwaka huu nilipita hapo walihamia kwa mbele kidogo, moja wetu hakutaka kuendelea safari hadi aupate huo mkate, ilibidi tuulizie sana hadi tufike walipohamia.