Mecheka KWA sauti lolYaani Diana Kwa mavazi Yale? Ni aibu kwa Taifa, utasema ametoka kusindikiza kigodoro mtaa wa pili
Kitumbo nje nje [emoji3] [emoji3] [emoji3] kiblauz na sketi hakionyeshi ushirikiano, watanzania sisi ni wanafiki sanaMbona kavaa poa tu
Nimependa staili ya mpiga picha uyo wa nyumaView attachment 449376kasketi hako wakuu ,labda aliamua kuvaa kiasili tuu
Huyu ndie Miss TANZANIA?Mecheka KWA sauti lol
Ndio yy huyoo...miss dayannaHuyu ndie Miss TANZANIA?
Ndio yy huyoo...miss dayanna
Thiiijuiii mimiiAlishindaje huyu? Msiseme eti huwa wanaangalia na "uwezo au uelewa wa mambo" maana hatutunuku diploma au masters degree pale
Hizo nywele sijui wigi umeliona kama vile ndio limeokotwa dampoView attachment 449376kasketi hako wakuu ,labda aliamua kuvaa kiasili tuu
Upi sasa? Maana.....!Picha ila Diana ana mdomo sana
Yani anaongea sana duh .. ninamuona kama si msikivu kiasi any way hayanihusuUpi sasa? Maana.....!