Kama yuko rafu tusiseme? Huyu ni kioo cha urembo sasa kama karudi hovyo hovyo tumsifie? Hivi umemuona miss Kenya alivyotua au unaongea tu ...Wanao Mponda ni wadada wenzake na wengine mama zake kabisa... Siku wanawake wakipendana itakua ndo mwisho wa dunia.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] daahMmh diana karud kama alikurupushwa ataachwa na ndege. Nywele vukuvulu,kiatu mmh,nguo jaman kwel kaonyesha umuhimu wa wamachinga maana si kwa sagula sagula zile.
Ule ulikua ni "uzalendo kwanza" lakini vidonge vyake lazima tumpeSasa jamani mlivyokuwa mnakomenti Tanzania mbona mlikuwa mnamfagilia sana au kwavile kashindwa uyu bindi tumsamehe bule maana ata zawadi zake zaumisi Tz alilalamika ndio akapewa yawezekana alipewa nauli tu
Angevaa Mdhungu wangeiga!Amevaa kitanzania,ulitaka aje na kimini ,acheni wivu wa kimbwiga mbwiga
Vijana wa siku izi wana msemo wao hii aibu si ya sayari hiiKavaa vizuri tu sema wabongo washajizoesha kila kitu wanataka kuponda
Labda alipigwa game kwenye ndege zikavurugika. Hakuna miss hapoMmh diana karud kama alikurupushwa ataachwa na ndege. Nywele vukuvulu,kiatu mmh,nguo jaman kwel kaonyesha umuhimu wa wamachinga maana si kwa sagula sagula zile.
Sijaona aliye comment kuhusu ile make up...Kitumbo nje nje [emoji3] [emoji3] [emoji3] kiblauz na sketi hakionyeshi ushirikiano, watanzania sisi ni wanafiki sana
Wanao Mponda ni wadada wenzake na wengine mama zake kabisa... Siku wanawake wakipendana itakua ndo mwisho wa dunia.
Miss Lunden! !!Huyu ndie Miss TANZANIA?
Labda alipigwa game kwenye ndege zikavurugika. Hakuna miss hapo