Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahahah mkuu rekebisha ni NGUMBARO....hilo ulilosema hapo ni jina la Katibu wa wizara mojawapo wasije kukupa kesi ya UCHOCHEZI burenani alistahili kama wote walikuwa ndumbaro?
Kavaa vizuri tu sema wabongo washajizoesha kila kitu wanataka kuponda
![]()
Haaa haaa watu mna maneno aseeKwa nchi yetu ilivyokubwa na warembo lukuki lakini lundenga kaamua kutuwekea hayo maajabu!!!!
Hao waliomponda ni WAVULANA tu........MWANAUME kamili hawezi mponda jinsia ya kike kwa vitu vidogo kama hivyoMbona wanaume wengi tu wamemponda...tena nahisi wanaume waliomponda wanazidi wanawake fuatilia insta na fb utaona. Wanawake tuache kujizalilisha et siku tukipendana itakuwa mwisho wa dunia!!!
amekuzidi uzuri nini mbona umemkasirikia sana mwanamke mwenzio? punguzeni kula na matumbo ili muwe mamis walau. tatizo wanawake wa kibongo mnakula sana na kujiachia mwisho mnabaki manung'ayembe hadi aibu kuwatambulisha tukiongozana.Yule ni miss au binti wa kawaida tu? Mmfyyuuu!!
Eti jinsia ya kiume hawezi kuponda jinsia ya kike...cheki hata humu wanaume kibao wanaponda. Swali ni kwamba kwanini watu wengi wamemponda tofauti na mamis wengi waliotangulia?Hao waliomponda ni WAVULANA tu........MWANAUME kamili hawezi mponda jinsia ya kike kwa vitu vidogo kama hivyo
Nimekwambia kuwa MWANAUME hawezi mponda jinsia ya kike kwa makosa madogo (tofautisha MWANAUME na MVULANA)Eti jinsia ya kiume hawezi kuponda jinsia ya kike...cheki hata humu wanaume kibao wanaponda. Swali ni kwamba kwanini watu wengi wamemponda tofauti na mamis wengi waliotangulia?
Hivi kweli huyu mzee yuko wapi sku hizi.?Hamna kitu huwa inafanywa halafu isiwe na faida kwa watayarishaji wanawakula mbunye kamulize Hashim Lundenga
Kwahiyo walioponda wote ni wavulana unachekeshaNimekwambia kuwa MWANAUME hawezi mponda jinsia ya kike kwa makosa madogo (tofautisha MWANAUME na MVULANA)
Kwa kweli Diana kapiga chini kweli kweli. ..dah!Yule Diana kweli alivaa kikwao sijui msukuma yule maana alijitwisha wigi likakaa kama uyoga wa serengeti yaani katuaibisha sio kidogo.
Ushajibu tayari [emoji1]Kwahiyo walioponda wote ni wavulana unachekesha
Usimchanganye Diana na Domo, ya domo muachie domoSubiri domo,atakavyoliabisha taifa pale Gabon