Ile sketi Aliyoshuka nayo miss Tanzania Kutoka marekani kiboko.

walimwengu hawana maana kla kitu lazima kitakosolewa
 
Kavaa vizuri tu sema wabongo washajizoesha kila kitu wanataka kuponda

Duh msichana Mrembo Ila alijaribu kujichubua haikuwezekana Halafu akaamua kuweka make up nyeusi Na nywele bandia.Ndio amekuwa balaa hii NI aibu Kwa nchi yetu.Watoto warembo wako wengi hawatumii mkorogo wala hawavai nywele bandia.Lazima atakuwa mtoto wa fulani tu.Mtu yeyeto anae bisha.Tuchukuwe wasichana 10 Manzese wasio Na make up Na Miss Tanzania. Miss Tanzania hawezi chukua Hata 8 bora.
 
Mbona wanaume wengi tu wamemponda...tena nahisi wanaume waliomponda wanazidi wanawake fuatilia insta na fb utaona. Wanawake tuache kujizalilisha et siku tukipendana itakuwa mwisho wa dunia!!!
 
Mbona wanaume wengi tu wamemponda...tena nahisi wanaume waliomponda wanazidi wanawake fuatilia insta na fb utaona. Wanawake tuache kujizalilisha et siku tukipendana itakuwa mwisho wa dunia!!!
Hao waliomponda ni WAVULANA tu........MWANAUME kamili hawezi mponda jinsia ya kike kwa vitu vidogo kama hivyo
 
Yule ni miss au binti wa kawaida tu? Mmfyyuuu!!
amekuzidi uzuri nini mbona umemkasirikia sana mwanamke mwenzio? punguzeni kula na matumbo ili muwe mamis walau. tatizo wanawake wa kibongo mnakula sana na kujiachia mwisho mnabaki manung'ayembe hadi aibu kuwatambulisha tukiongozana.
 
Hao waliomponda ni WAVULANA tu........MWANAUME kamili hawezi mponda jinsia ya kike kwa vitu vidogo kama hivyo
Eti jinsia ya kiume hawezi kuponda jinsia ya kike...cheki hata humu wanaume kibao wanaponda. Swali ni kwamba kwanini watu wengi wamemponda tofauti na mamis wengi waliotangulia?
 
Eti jinsia ya kiume hawezi kuponda jinsia ya kike...cheki hata humu wanaume kibao wanaponda. Swali ni kwamba kwanini watu wengi wamemponda tofauti na mamis wengi waliotangulia?
Nimekwambia kuwa MWANAUME hawezi mponda jinsia ya kike kwa makosa madogo (tofautisha MWANAUME na MVULANA)
 
Hamna kitu huwa inafanywa halafu isiwe na faida kwa watayarishaji wanawakula mbunye kamulize Hashim Lundenga
Hivi kweli huyu mzee yuko wapi sku hizi.?
Nasikiaga eti amewatafuna sana mamisi wetu akiwemo na yule super star ambae eti wanasemaga anasafishaga nyota japo ana "kipururu" yaani kama una hela za anakupukutisha zoote japo nyota yako inakuwa swaafi hata ukiamua kuwa msanii unakubalika haraka.![emoji39]
 
Yule Diana kweli alivaa kikwao sijui msukuma yule maana alijitwisha wigi likakaa kama uyoga wa serengeti yaani katuaibisha sio kidogo.
Kwa kweli Diana kapiga chini kweli kweli. ..dah!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…