Ile sketi Aliyoshuka nayo miss Tanzania Kutoka marekani kiboko.

Hii sketi amepewa na Donald Trump. Sema Miss wenyewe mbayaaaaaa
 
Wife materiaaaaaaaaaaallll[emoji3] [emoji3]
Kwamba amekaa kimama mama, sio?

( Guys have mercy on her pleeeaaase, she's only 18yrs old)

Daaa!! Ila kweli wawe wanazingatia na sura ingawa wanatanguliza knowledge ndio kipaumbele( knowledge inafundishika bhaaana, so uzuri kwanza)

Ukisoma qualification za kuwa miss world wanakwambia majudge wanaangalia appearance kwanza na pose zako then maswali wanayouliza ni kigezo cha ziada tu kutest akili ya huyo mgombea. Sasa Tanzania tupo kinyume unafikiri tutamatch na miss world kweli?!!!
 
Hayo mengine cpo ila kuchanganya lugha imenikera zaid kama unapendelea kiswahili ongea kiswahili kama nae amesahau kiswahili aongee tu kidhungu moja kwa moja

KiswaNglishi ndio usomi Mkuu "ndio mambo ya mtoni Fulani Hivi"
 
Kwani uzuri wa nje ni nini ? Kuna SI Unit ya kupima uzuri ? Unachoona wewe kizuri ndio na mimi pia lazima nione ni kizuri ?
Kila kitu kizuri hujionyesha nje kabla hujagusa ndani kumbuka pia watu wanaangalia shape alafu mambo mengine yanafuata,ukiwa mbaya utafanyiwa make up lakini haupendeza kama yule aliye na mvuto wa asili.jifunze kutambua vitu vizuri basi ndiyo maana malaika walipewa sura nzuri hiyo ni kwasababu wametimia kikamilifu na shetani alipewa sura mbaya inayosadifu uhalisia japo simaanishi dada yetu ni mbaya hapana but kwenye mashindano kama yale huwezi kumuweka ndugu yetu huyu ni lazima tushindwe tu.
 
Sura mbaya ya shetani umeionea wapi ?
 
Huo ni msiba na udhaifu mkubwa wanaoufanya watu maarufu zaid wanatuchefua tu kufikia hatua unaona aibu unaesikiliza[emoji35]

Ntenia nimeona aibu kwa kusoma Na kusikia KiswaNglishi mpaka nimekuwa sugu wa aibu.
Hata humu JF wako wengi tu.
 
Kwani alipokuwa anarudi kutoka marekani alikuwa anaenda kwenye onyesho mpaka avae mavazi ya kimiss ? Na kwanza kapokelewa na wazazi wake tu na waandishi wa habari sasa huko kuwaaibisha ni vipi?
 
Lilian kamazima namkubali sana, akitabasamu hutamani aache, nisaidie namba yake kama unayo.
 
Ile sketi kiboko, Yani sikuielewa design imejikunja, design imejibinua na sijui alikua hajanyoosha hata Nguo zenyewe, maana mhh ile Ni mpya akachapa na Viatu vya njano sijui bluu kweli tulipeleka kituko huko alikua vichekesho tu.
Acha umbea lete picha.
 
Ile sketi kiboko, Yani sikuielewa design imejikunja, design imejibinua na sijui alikua hajanyoosha hata Nguo zenyewe, maana mhh ile Ni mpya akachapa na Viatu vya njano sijui bluu kweli tulipeleka kituko huko alikua vichekesho tu.
Acha umbea lete picha.
 

Wazuri wa sura always kichwani weupe peee! Wajinga balaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…