TheForgotten Genious
JF-Expert Member
- Jan 18, 2014
- 2,087
- 3,156
Hivi ile tume ya sayansi na teknolojia ina kazi gani ? Mimi siielewi maana unaweza ukapeleka proporsal ya kuomba kupewa support ya development ya project yako ,wakaipitia wakakwambia ni nzuri ,but we have no money!! Na utakuta project yenyewe hai gahrimu hata 20M kwa ajili ya development kwa ajili ya majaribio,kwani ipo kwa kazi ipi zaidi?, au hili haliwahusu? Ama ni tume ya mchongo?