Mr kenice
JF-Expert Member
- Mar 15, 2022
- 4,260
- 7,033
Idea nyingi zimeibiwa na kuuzwa nchi zingine.Tanzania una project au mradi au ubunifu wowote halafu unauwasilisha kuomba msaada? Ndugu yangu hili ni kama jambo lisilowezekana. Kuna jamaa yangu alibuni mradi mzuri sana wa kuzalisha bidhaa fulani, akaenda kuomba leseni, wakampiga dana dana kumbe kuna mkubwa mmoja ameshachukuwa ile ''idea'' na kwenda kuifanyia kazi.
Wezi sana Hawa