Idea nyingi zimeibiwa na kuuzwa nchi zingine.Tanzania una project au mradi au ubunifu wowote halafu unauwasilisha kuomba msaada? Ndugu yangu hili ni kama jambo lisilowezekana. Kuna jamaa yangu alibuni mradi mzuri sana wa kuzalisha bidhaa fulani, akaenda kuomba leseni, wakampiga dana dana kumbe kuna mkubwa mmoja ameshachukuwa ile ''idea'' na kwenda kuifanyia kazi.
🤣🤣🤣Mchongo ule,ni tume ya kuandaa research zinazoishia kwenye makabati na kula per diem za kutosha😅😅😅
😁😁🙌🤣🤣🤣Mchongo ule,ni tume ya kuandaa research zinazoishia kwenye makabati na kula per diem za kutosha
Aise!!!,let me tryNina jamaa yangu kakulia kenya ila ni mtz by citizenship, alinambia kawapelekea idea wanaishia kumpigisha ruti za njoo leo njoo kesho, bahati nzur akapata connection hapo nairobi watu wakaikubali sahv anantumia tu miamala.
Zeze linachangia mjadala,uwe unatulia sehemu nyingine wewe matter coreKwamba tume wana pesa ambazo ziko loose loose tu. Wewe wapeleka proposal bila kuwapo na call yoyote? Hizo akili za zeze.
🙏🙏Hio ipo Kwa ajili ya Kuiba ideas, na kufelisha Vijana wenye uwezo binafsi.
Usije peleka proposal yako mahala kama pale utakuja kuiskia hata SA, ndipo utashangaa imefikaje South.
Hizi tume zipo kimipango mkuu nasio kama tunavozijua.
Mamilioni na wana bembelezwa kurejesha haki,sisi ni kichwa cha mwenda wazimuMzee umecoment kwa gadhabu sana
[emoji1]
Alafu wakina shilole bongo movie wanapewa pesa kiubwete tu
Ova
Dah!!,ngoja nitafute urai ng'amboI had my own project and its a good one, proposal iliwafikia na demonstrations kibao ila kama hawaoni vile, years past one ngo saw something on me nikafanya nao kazi yenye mafanikio sana kulingana na targets tukizoweka nafasi moja ikafungua milango
Mingine now im abt to work with their goverment, na moja kati ya swali nililoulizwa why hii project hujaamua kufanya na nchi yako, i said i didn get that opportunity,.. This is Africa,, kila kitu ni deal ndio maana hatuendelei
Dah!!qummamayoooooo sana kwa sauti ya mzee mpili walai😅😅Idea nyingi zimeibiwa na kuuzwa nchi zingine.
Wezi sana Hawa
Mimi naenda kuroga aise kama mbwai na iweIdea nyingi zimeibiwa na kuuzwa nchi zingine.
Wezi sana Hawa
Kuna taarifa umeamua usizijumuishe katika uzi wako labda kwa kutaka kuhalalisha hoja. Tume ya Sayansi haifadhili project ya mtu mmoja. Tafuta timu ya watu wenye profile za kitafiti uwajumuishe, kama proposal inasound, mtapewa fungu la kutosha ambalo hata ukigawanya kwa idadi yenu, ni zaidi ya hiyo 20MHivi ile tume ya sayansi na teknolojia ina kazi gani ? Mimi siielewi maana unaweza ukapeleka proporsal ya kuomba kupewa support ya development ya project yako ,wakaipitia wakakwambia ni nzuri ,but we have no money!! Na utakuta project yenyewe hai gahrimu hata 20M kwa ajili ya development kwa ajili ya majaribio,kwani ipo kwa kazi ipi zaidi?, au hili haliwahusu? Ama ni tume ya mchongo?
Na fahamu zaidi ya unavyodhani nafahamu;ziko project nyingi Za mtu mmoja mmoja wamedhifadhili nanda katika tovuti zao wamezihorozesha tano walizozifadhili na ni Za mtu mmoja mmoja.Kuna taarifa umeamua usizijumuishe katika uzi wako labda kwa kutaka kuhalalisha hoja. Tume ya Sayansi haifadhili project ya mtu mmoja. Tafuta timu ya watu wenye profile za kitafiti uwajumuishe, kama proposal inasound, mtapewa fungu la kutosha ambalo hata ukigawanya kwa idadi yenu, ni zaidi ya hiyo 20M