connections
JF-Expert Member
- Apr 27, 2013
- 2,190
- 3,039
Wananchi wa Ileje kutoka Ikinga, Isongole, Ngulilo, Ndola, Luswisi na Itale kwa pamoja wameonyesha uzalendo wao kwa kumchangia gharama za kuchukua fomu ya ubunge. Msomi Dr Ntimi Mtawa ili agombee nafasi ya ubunge katika uchaguzi mkuu ujao wa 2025. Ikumbukwe mwaka 2020 kijana huyu msomi alijaribu kuomyesha mia yake lakini kura za wajumbe hazikutimia. Naiona Ileje mpya 2025-2030.
#Hakika Wana-Ileje haya si mapenzi bali ni mahaba kwa Mheshimiwa Dr Mtawa, Mbunge Mtarajiwa.
#Hakika Wana-Ileje haya si mapenzi bali ni mahaba kwa Mheshimiwa Dr Mtawa, Mbunge Mtarajiwa.