connections
JF-Expert Member
- Apr 27, 2013
- 2,190
- 3,039
AmekutumaWananchi wa Ileje kutoka Ikinga, Isongole, Ngulilo, Ndola, Luswisi na Itale kwa pamoja wameonyesha uzalendo wao kwa kumchangia gharama za kuchukua fomu ya ubunge. Msomi Dr Ntimi Mtawa ili agombee nafasi ya ubunge katika uchaguzi mkuu ujao wa 2025. Ikumbukwe mwaka 2020 kijana huyu msomi alijaribu kuomyesha mia yake lakini kura za wajumbe hazikutimia. Naiona Ileje mpya 2025-2030.
#Hakika Wana-Ileje haya si mapenzi bali ni mahaba kwa Mheshimiwa Dr Mtawa, Mbunge Mtarajiwa.
Ametengeneza chawa wakeYeye Mwenyewe hana hela?
😆😆😆😆Ametengeneza chawa wake
Nchi ya hovyo sn😆😆😆😆
Jambo la faraja Ileje hakuna watu wapumbavu na machawa kama wewe! Mtu kama wewe anafananishwa na mtoto aliyepata malezi ya hovyo kutoka kwa mzazi mmoja malaya, yaani "USOSI"!Wananchi wa Ileje kutoka Ikinga, Isongole, Ngulilo, Ndola, Luswisi na Itale kwa pamoja wameonyesha uzalendo wao kwa kumchangia gharama za kuchukua fomu ya ubunge. Msomi Dr Ntimi Mtawa ili agombee nafasi ya ubunge katika uchaguzi mkuu ujao wa 2025. Ikumbukwe mwaka 2020 kijana huyu msomi alijaribu kuomyesha mia yake lakini kura za wajumbe hazikutimia. Naiona Ileje mpya 2025-2030.
#Hakika Wana-Ileje haya si mapenzi bali ni mahaba kwa Mheshimiwa Dr Mtawa, Mbunge Mtarajiwa.
Na ni vichaa haswaa.Ileje kwa kiyoruba Ina maanisha mkusanyiko wa vichaa
Britanicca
Machawa ni shidaaaa sanaaWananchi wa Ileje kutoka Ikinga, Isongole, Ngulilo, Ndola, Luswisi na Itale kwa pamoja wameonyesha uzalendo wao kwa kumchangia gharama za kuchukua fomu ya ubunge. Msomi Dr Ntimi Mtawa ili agombee nafasi ya ubunge katika uchaguzi mkuu ujao wa 2025. Ikumbukwe mwaka 2020 kijana huyu msomi alijaribu kuomyesha mia yake lakini kura za wajumbe hazikutimia. Naiona Ileje mpya 2025-2030.
#Hakika Wana-Ileje haya si mapenzi bali ni mahaba kwa Mheshimiwa Dr Mtawa, Mbunge Mtarajiwa.
🤣 🤣 🤣Ileje kwa kiyoruba Ina maanisha mkusanyiko wa vichaa
Britanicca