Pre GE2025 Ileje wamchangia Dr Ntimi Mtawa gharama za kuchukua fomu 2025

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Ni Dr wa kitu gani? Hospitalini au PhD kama ya Musukuma Kasheku?
 
Huyu chawa ana maslahi binafsi na huyo mtu wake

Twambie ameona mapungufu gani kwenye jimbo husika, nini anapanga kufanya na atatumia njia gani tofauti na zilizozoeleka kuleta changes na kwa nini yeye na sio mtu mwingine?

Au anagombea kwa maslahi mapana ya tumbo lake?. Ifike Wakati kuwe na sheria ngumu hadi watu waziogope hizi nafasi!
 
Okay
 
Haya maigizo Dr.Nchimbi hayataki
 
Huyu watakula kichwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…