King Kong III
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 56,205
- 79,515
London Boy Nakuja huko Kula Bata Weekend ijayo.Aman iwe nanyi wakuu
Hii nimejionea mwenyewe siku nyingi sana kote nilikopita utakuna na sehemu za starehe nzur kuliko za iremela ila ziko sehem tofaut tofaut
Lakin kwa ilemela yote iko poa na sehem za starehe ni nyingi sana na watu wanatumia pesa kama wametumwa yaan kama hawana akili vizur, huku hakuna hali mbaya
Tuna tumia pesa ndan ya jimbo la mama yetu mama Angelina mabula
karbun sana ilemela
LONDON BOY
Sent using Jamii Forums mobile app
Basata hawako huko mwanza na hawajaliona jina hilo?Kuna gap linaitwa matako Bar hapo Ilemela. Wahudumu wana matako kama sofa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Poa lakin kitangili iko ilemela ni hayo tuMsijifanye mnajua nyie na kumbe mnaungua na jua!
Ukisema Ilemela unamaanisha pale ambapo panajulikana kwa jina hilo na sio kugeneralize!
Ni sawa na kusema niko KINONDONI kwa kumaanisha pale pale kino na sio Sinza au magomeni eti kwakuwa pia ziko wilaya ya KINONDONI au Jimbo la kinondoni!
Ukisema ILEMELA kwa kugeneralize na Rocky city mall, kona ya Bwiru, Kirumba na kadhalika lazima uanze na neno WILAYA AU JIMBO kabla hujatamka ILEMELA ili mtu atambue kuwa unaongelea wilaya nzima sio kusema Ilemela pekee kumbe unamaani wilaya!
Ndo maana mnafeli kwa vitu vya kipumbavu kabisa
Sent using Jamii Forums mobile app
Karbu sana ndugu Yangu utanikuta nimejaa teleLondon Boy Nakuja huko Kula Bata Weekend ijayo.
Hapo Wasukuma mmeisha, maana mnavyopenda hizo maneno,sio mchezo.Kuna gap linaitwa matako Bar hapo Ilemela. Wahudumu wana matako kama sofa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu IPO hata Arusha bar ya jina hiloKuna gap linaitwa matako Bar hapo Ilemela. Wahudumu wana matako kama sofa.
Sent using Jamii Forums mobile app