Ilemela ndo mshenz Wa starehe Afrika mashariki

Aman iwe nanyi wakuu

Hii nimejionea mwenyewe siku nyingi sana kote nilikopita utakuna na sehemu za starehe nzur kuliko za iremela ila ziko sehem tofaut tofaut

Lakin kwa ilemela yote iko poa na sehem za starehe ni nyingi sana na watu wanatumia pesa kama wametumwa yaan kama hawana akili vizur, huku hakuna hali mbaya

Tuna tumia pesa ndan ya jimbo la mama yetu mama Angelina mabula

karbun sana ilemela

LONDON BOY

Sent using Jamii Forums mobile app
London Boy Nakuja huko Kula Bata Weekend ijayo.
 
Msijifanye mnajua nyie na kumbe mnaungua na jua!
Ukisema Ilemela unamaanisha pale ambapo panajulikana kwa jina hilo na sio kugeneralize!
Ni sawa na kusema niko KINONDONI kwa kumaanisha pale pale kino na sio Sinza au magomeni eti kwakuwa pia ziko wilaya ya KINONDONI au Jimbo la kinondoni!
Ukisema ILEMELA kwa kugeneralize na Rocky city mall, kona ya Bwiru, Kirumba na kadhalika lazima uanze na neno WILAYA AU JIMBO kabla hujatamka ILEMELA ili mtu atambue kuwa unaongelea wilaya nzima sio kusema Ilemela pekee kumbe unamaani wilaya!
Ndo maana mnafeli kwa vitu vya kipumbavu kabisa

Poa lakin kitangili iko ilemela ni hayo tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom