Ilhan omar alishindwa kuzisoma alama za Nyakati mapema atajuta

SISIS

JF-Expert Member
Joined
Jan 14, 2019
Posts
11,145
Reaction score
3,822
Kwa msio mjua huyu bidada ni mwakilishi bungeni wa Jimbo la Minessota na ana asili ya kisomali na ni mhamiaji kutoka somalia

Sasa kama mnavyowajua hawa ndugu zetu wakitokaga kwenye nchi zao kwao ukobazini hapakaliki kule hata mwanamke kuongea tu kwa ukali mbele ya mwanaume unaweza ukachapwa fimbo 20 hdharani fuatilia somalia na afganistan

Sasa huyu bibie mwezi wapili kipindi trump anahutubia bunge aliropoka akimtolea maneno makali Trump kuwa ni mtu wa hivyo,akamkejeli Sasa unajua Trump ni mzungu ila ana vinasba vya kiswahili yaani anapenda ugomvi kuliko kula na haachi mtu na Deni

Bibie now kaanza kutoa machozi akiomba achangiwe pesa kupambama na mikesi aliyopew ikiwemo kufoji document za kupata uraia wa marekeni, inasemekana pia mwanaume aliefunga nae ndio ili kumwezesha kupata uraia wa marekani ni kaka yake wa damu na alidanganya kuwa sio kaka yake Sasa bibie Trump kambananisha pabaya anajuta maana akikutwa na hzi tuhuma cha kwanza ni jela na akitoka jela anarudishwa kwao somalia

Sasa wenzetu wazungu Wana tabia moj hasa wamarekani linapokuja swala la mtu akianza kuleta uislam mkali NDANI ya serialli Yao Huwa wanakuwa kitu kimoja lazima watakutimua tu na ndio maana bibie hili zaga hata chama chake kimetulia tuli
 
Mpka muondoe majeshi middle east , anguko litatokea ndani..Ondooni majeshi , wenzenu wanachukia sana kuona mnakwenda kwenye nchi zao pia.
 
Yani hapo kwenu hamna maji chooni mpaka ubebe kweny ndoo, lkn unaujasiri wa kumwambia mbunge wa USA atajuta

Hii nchi inamambo ya kike kike sana kwakifupi ni shoga
Nimecheka sana, wabongo kila uchao wanamfungulia mabandiko huyo bidada, kama vile amebana nafasi za wabongo kwenda Marekani😀😀.
 
Kwq nn hizo kelele asingeenda kuwapigia talibani?acha abanwe vzur cz washacheza karata vzur huko...wanadai kama si mzaliwa huwez kuiwela US first na ndo ukwel wenyew...
 
Shame on you democrats for allowing illegal migrants to increase number of voters
 
Naona sasa hivi dunia inaamka juu ya hii dini ya kitapeli na kigaidi
 
Kwa msio mjua huyu bidada ni mwakilishi bungeni wa Jimbo la Minessota na ana asili ya kisomali na ni mhamiaji kutoka somalia

Sasa kama mnavyowajua hawa ndugu zetu wakitokaga kwenye nchi zao kwao ukobazini hapakaliki kule hata mwanamke kuongea tu kwa ukali mbele ya mwanaume unaweza ukachapwa fimbo 20 hdharani fuatilia somalia na afganistan

Sasa huyu bibie mwezi wapili kipindi trump anahutubia bunge aliropoka akimtolea maneno makali Trump kuwa ni mtu wa hivyo,akamkejeli Sasa unajua Trump ni mzungu ila ana vinasba vya kiswahili yaani anapenda ugomvi kuliko kula na haachi mtu na Deni

Bibie now kaanza kutoa machozi akiomba achangiwe pesa kupambama na mikesi aliyopew ikiwemo kufoji document za kupata uraia wa marekeni, inasemekana pia mwanaume aliefunga nae ndio ili kumwezesha kupata uraia wa marekani ni kaka yake wa damu na alidanganya kuwa sio kaka yake Sasa bibie Trump kambananisha pabaya anajuta maana akikutwa na hzi tuhuma cha kwanza ni jela na akitoka jela anarudishwa kwao somalia

Sasa wenzetu wazungu Wana tabia moj hasa wamarekani linapokuja swala la mtu akianza kuleta uislam mkali NDANI ya serialli Yao Huwa wanakuwa kitu kimoja lazima watakutimua tu na ndio maana bibie hili zaga hata chama chake kimetulia tuli
Hujui kitu. Kaa kimya.
 
Back
Top Bottom