Ili akili zitukae sawa, napendekeza serikali ije na tozo za kufungua pages za watu maarufu mitandaoni

Ili akili zitukae sawa, napendekeza serikali ije na tozo za kufungua pages za watu maarufu mitandaoni

Salary Slip

Platinum Member
Joined
Apr 3, 2012
Posts
49,390
Reaction score
152,301
Yaani ukitaka ku- access akauntiz(mfano ya twitter au Instagram ) ya mtu kama Diamond, Ali Kiba, Mayele, Sakho, Chama, Wema, n.k, ukiwa humu nchini, shariti kwanza ulipe 500, then kupitia simu yako, unatumiwa password maalumu itayokuruhusu kuingia katika akaunti ya huyo mtu maarufu .


Nadhani hii itakuwa Imekaa poa sana na baada ya muda tutajitambua.

Na ukitaka kujua Wabongo tuko busy na issue zisizogusa maisha yetu kuliko zinazogusa maisha, reaction ya hii tozo mpya itakuwa ni mara mbili ya reaction ya tozo za kwenye simu na hii ya sasa ya kwenye mabenki.

Tozo oyeee!
 
Back
Top Bottom