Ili bajeti ya serikali za Afrika iwe na uuwiano ni lazima wananchi wazilazimishe serikali za Kiafrika kupunguza matumizi kwa nguvu

Ili bajeti ya serikali za Afrika iwe na uuwiano ni lazima wananchi wazilazimishe serikali za Kiafrika kupunguza matumizi kwa nguvu

HAKI KWA WOTE

JF-Expert Member
Joined
Nov 30, 2022
Posts
1,108
Reaction score
1,132
Habarini,

Chanzo kikubwa cha umasikini na maisha magumu kwa Waafrika ni matumizi makubwa ya serikali kupitia viongozi kuishi maisha ya anasa na ufahari kwa kutanguliza maslahi yao binafsi.

Njia rahisi ni kupunguza matumizi hayo kwa nguvu kupitia njia mbadala ikiwemo kuandamana na kichoma magari ya kifahari/ V8 yote ya kiserikali ambapo bima zitalipa na kuingizia serikali mapato kisha serikari inunue suzuki jimmy kwaajili ya matumizi ya serikali.

Njia ya pili ni kuvunja bunge kwani linatia hasara kwa wabunge kulipwa pesa nyingi na marupurupu huku hawalipi kodi maamuzi yoote ikiwemo kutunga sheria yafanywe na watendaji wa kata kwa kutunga by laws zitakazounganishwa na kuwa sheria za nchi,wabunge hawana kazi yoyote wezi tu.

N.K.

Nawasilisha
 
Kwa nchi yetu hii mkuu, mmh tuendelee kuchukua notes tu majirani zetu.
 
Kakundi kadogo toka msoga ndiko kanaitafuna hii nchi kama mchwa.
 
Back
Top Bottom