Bulelaa
JF-Expert Member
- Jun 28, 2024
- 1,342
- 3,247
Wapenzi wa chadema na wapenda mabadiriko ya kweli na upinzani wa kweli popote pale walipo
Wanayo machaguo mawili tu kuhakikisha CHADEMA inabaki na pengine kushika dola na ama kufa kifo cha mende kama ilivyokuwa kwa vyama vingine vilivyowahi kuwika kabla ya Chadema na kisha kutoweka kama upepo
Ni kuchagua kifo cha chama chao ama uhai wa chama chao
Na ili Chadema kife, ni shariti Mbowe achaguliwe kuwa M/kiti
Na ili Chadema kiendelee na kuwa tishio kwa CCM, sharti kimchague Mh.Lissu kuwa Mwenyekiti
Mbowe anajua fika kwamba hana mbinu yoyote tena ya kukabiliana na ccm wenzake na kwamba awadanganye wanachadema eti yeye siyo ccm
Baada ya uchaguzi uzi huu mtaukumbuka
Kataa ccm kuokoa mama Tanzania