ili Diamond Platnumz awe nominated kwenye Grammy awards ilitakiwa wimbo wake wa "komasava" utrend internationally kama "calm down" ya REMA

ili Diamond Platnumz awe nominated kwenye Grammy awards ilitakiwa wimbo wake wa "komasava" utrend internationally kama "calm down" ya REMA

Charlez kanumba

Senior Member
Joined
Nov 2, 2024
Posts
187
Reaction score
501
Diamond ilitakiwa atulize kichwa katika uandishi wa mashairi, nchi za wenzetu wanapenda songs with content and well understandable lyrics, fluent language,

Nasikitika sana kuona msanii wetu Diamond anaimba ugolo bila yeye mwenyewe kujua, nadhani ingekuwa ni vizuri kama angepata mwandishi mahiri wa muziki kutoka U.S.A ili amwandikie nyimbo ambazo zitampaisha kwa kasi kama akina Rema,

Rema ameingia juzi tu katika game ila wimbo wake wa calmdown una 1B views, it means umetazamwa na watu wengi sana duniani na hii ni kutokana na utunzi ambao unawafikia wengi na kugusa hisia za kila mtu.

Ila tukija kwa Diamond yeye ameimba wimbo unaitwa "komasava" ambayo ni salamu ya kifaransa, inasikitisha sana, yaani ni sawa na Mtanzania aimbe wimbo unaitwa "shikamoo" halafu anategemea ashinde tuzo ya Grammy..sadly.

kweli kuna sehemu bila elimu huwezi ukatoboa, Diamond anajua sana kuimba na alitakiwa awe mbali sana kimuziki ila tatizo amekosa circle ya watu wenye Elimu.
 
Back
Top Bottom