Ili kuepuka migogoro isiyo ya Lazima! Serikali ya Umoja wa Kitaifa ni muhimu..

Sawa lakini bado viongozi wote wazuri wako ccm,halafu hapa tz bado hakuna upinzani makini,sasa suk ya kazi gani?
 
ndicho CCM mnatafuta kwa sasa hakuna kitu kama hicho, mmeshindwa mtihani mliopewa, achane wengine waongoze
 
Kwani Serikali ya Umoja wa Kitaifa Kwani ndio dawa. Sikiliza mkutano wa Leo wa CCM Zanzibar utajuwa kuwa kuna jina tu la Serikali ya Umoja wa Kitaifa. Chadema ikishinda sio lazima iunde Serikali ya Umoja na madhalimu CCM maana viko vyama tele vya kuunda nao Serikali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…