Ili vyombo vya Dola visiegemee kwa wanasiasa wakati wa utendaji wa majukumu yao, itungwe Sheria ya kuzuia Mtu anayeshinda kuwa Rais wa Nchi kuwa Mwenyekiti wa Chama cha Siasa.
Hii itaepusha hata kwenye matumizi ya mali ya umma kwenye Chama cha Siasa. Watunga Sheria na wasimamizi wa Sheria mliangalie hili lifanyiwe kazi hata kabla Katiba mpya haijaanzishwa. Naleta kwa msisitizo na utekelezaji wa mapema.