Ili kufanikisha malengo uliyojipangia, inabidi kupunguza mirija yote inayofanya pesa kuteketea

Kuhusu Malaya(wanaojiuza).
Chukulia unaishi mbali na mkeo,mnaonana baada ya miezi 3.Je unaweza kuishi bila kupiga Malaya ili usevu pesa.?
Kuna baadhi ya mambo yataendelea kupokonya pesa hata kama mgumu vipi.
 
Hawa motivational speakers wapo kama waganga wa kienyeji anakwambia ana dawa ya kukufanya uwe na pesa utajirike lakini mwenyewe anaishi kwenye kibanda cha udongo hata akiba ya elfu 50 ndani hana[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Back
Top Bottom