Uchaguzi 2020 Ili kufuta kidomo domo cha kina Lissu, nashauri Tume ya Uchaguzi ihesabu kura zote kwa njia ya uwazi

jitombashisho

JF-Expert Member
Joined
Jun 11, 2020
Posts
667
Reaction score
2,245
Hata ikiwa kama nilivyoshauri bado Magufuli atashinda tena asubuhi mapema.

Tume ya uchaguzi amueni moja ili kuwakosesha hoja hao mamluki nalo ni kuhesabu kura hasa ngazi ya u Rais kwa uwazi.

Ukweli ni kwamba Tundu hana uwezo wa kushinda uchaguzi mkuu na kuendelea kujiamini kwake kuhusu hilo ni kupoteza muda tu.
 
Hawatofanya hivyo kamwe. Maybe uongozi ujao utaeaa badili hizo sheria. Lakini mpaka sasa kwa level tuliyofika kwenye uchaguz halitowezekana.
 
Ikiwa hvyo asubui na mapema ukurasa wa chama chako unafungwa rasmi, na tunaanza utawala mpya, hvi kuna nyanja yoyote kweli ambayo haijalia ndani ya hii miaka mitano?? So hao ndio waendelee kulia na kuumia tena?? Come on lady.
 
CCM mpya chini ya Bashiru na Chakubanga mbona imeacha kuongelea mambo ya madege na madaraja? Walidhani mwanzoni kuwa wananchi watakula madaraja? Sasa kama wanajua kusoma alama za nayakati wasome. Huu uchaguzi waki mess up wanakwenda kupigwa vikwazo siyo vya dunia hii.. Yaani sisi
 
Acheni uwoga tutawashinda kweupe huyo lissu anawalisha matango pori
Hawatofanya hivyo kamwe. Maybe uongozi ujao utaeaa badili hizo sheria. Lakini mpaka sasa kwa level tuliyofika kwenye uchaguz halitowezekana.
 
Hata ikiwa kama nilivyoshauri bado Magufuli atashinda tena asubuhi mapema.

Tume ya uchaguzi amueni moja ili kuwakosesha hoja hao mamluki nalo ni kuhesabu kura hasa ngazi ya u Rais kwa uwazi.

Ukweli ni kwamba Tundu hana uwezo wa kushinda uchaguzi mkuu na kuendelea kujiamini kwake kuhusu hilo ni kupoteza muda tu.
Naona umeamua kumdanganya mwenzio
 
Acheni uwoga tutawashinda kweupe huyo lissu anawalisha matango pori
And pls usini address kama mpinzani au mwanachama. Maana sina chama chochote.
Na pia si kila anae pinga hoja zenu ni chadema.. utakuwa delusional kudhani kila anae pinga ni mwanasiasa.
Wapo wasio na vyama.

So stop dreaming in the day light bro.
 
Hata ikiwa kama nilivyoshauri bado Magufuli atashinda tena asubuhi mapema.

Tume ya uchaguzi amueni moja ili kuwakosesha hoja hao mamluki nalo ni kuhesabu kura hasa ngazi ya u Rais kwa uwazi.

Ukweli ni kwamba Tundu hana uwezo wa kushinda uchaguzi mkuu na kuendelea kujiamini kwake kuhusu hilo ni kupoteza muda tu.

THubutu!
 
CCM hawawezi kabisa. Mwizi hawezi kuiba waziwazi. Hatakuwa siyo mwizi tena.
Hata ikiwa kama nilivyoshauri bado Magufuli atashinda tena asubuhi mapema.

Tume ya uchaguzi amueni moja ili kuwakosesha hoja hao mamluki nalo ni kuhesabu kura hasa ngazi ya u Rais kwa uwazi.

Ukweli ni kwamba Tundu hana uwezo wa kushinda uchaguzi mkuu na kuendelea kujiamini kwake kuhusu hilo ni kupoteza muda tu.
 
Hata ikiwa kama nilivyoshauri bado Magufuli atashinda tena asubuhi mapema.

Tume ya uchaguzi amueni moja ili kuwakosesha hoja hao mamluki nalo ni kuhesabu kura hasa ngazi ya u Rais kwa uwazi.

Ukweli ni kwamba Tundu hana uwezo wa kushinda uchaguzi mkuu na kuendelea kujiamini kwake kuhusu hilo ni kupoteza muda tu.
Sumu haionjwi. Sioni ccm wakifanya hilo kosa.
 
CCM mpya chini ya Bashiru na Chakubanga mbona imeacha kuongelea mambo ya madege na madaraja? Walidhani mwanzoni kuwa wananchi watakula madaraja? Sasa kama wanajua kusoma alama za nayakati wasome. Huu uchaguzi waki mess up wanakwenda kupigwa vikwazo siyo vya dunia hii.. Yaani sisi
Nimechoka kuona hii comment(reply).

Kila sehemu hii tu, mpaka kwenye ushauri wa kimapenzi...daah.
 
Hata ikiwa kama nilivyoshauri bado Magufuli atashinda tena asubuhi mapema.

Tume ya uchaguzi amueni moja ili kuwakosesha hoja hao mamluki nalo ni kuhesabu kura hasa ngazi ya u Rais kwa uwazi.

Ukweli ni kwamba Tundu hana uwezo wa kushinda uchaguzi mkuu na kuendelea kujiamini kwake kuhusu hilo ni kupoteza muda tu.
Unahisi watu wa sampuli ya kwako mko wangapi? Cheki hapa unavyohangaika na life ila bado unaamini CCM itabadilisha life lako
Screenshot_20201004-111956.jpg
 
Back
Top Bottom