jitombashisho
JF-Expert Member
- Jun 11, 2020
- 667
- 2,245
Hawatofanya hivyo kamwe. Maybe uongozi ujao utaeaa badili hizo sheria. Lakini mpaka sasa kwa level tuliyofika kwenye uchaguz halitowezekana.Hata ikiwa kama nilivyoshauri bado Magufuli atashinda tena asubuhi mapema.
Tume ya uchaguzi amueni moja ili kuwakosesha hoja hao mamluki nalo ni kuhesabu kura hasa ngazi ya u Rais kwa uwazi.
Ukweli ni kwamba Tundu hana uwezo wa kushinda uchaguzi mkuu na kuendelea kujiamini kwake kuhusu hilo ni kupoteza muda tu.
Ikiwa hvyo asubui na mapema ukurasa wa chama chako unafungwa rasmi, na tunaanza utawala mpya, hvi kuna nyanja yoyote kweli ambayo haijalia ndani ya hii miaka mitano?? So hao ndio waendelee kulia na kuumia tena?? Come on lady.Hata ikiwa kama nilivyoshauri bado Magufuli atashinda tena asubuhi mapema.
Tume ya uchaguzi amueni moja ili kuwakosesha hoja hao mamluki nalo ni kuhesabu kura hasa ngazi ya u Rais kwa uwazi.
Ukweli ni kwamba Tundu hana uwezo wa kushinda uchaguzi mkuu na kuendelea kujiamini kwake kuhusu hilo ni kupoteza muda tu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Naombeni ushauri haraka sana!
you should deal with your wife's issues first ..sasa huku stress za buku saba, huku mke kisirani..utakufa
Hawatofanya hivyo kamwe. Maybe uongozi ujao utaeaa badili hizo sheria. Lakini mpaka sasa kwa level tuliyofika kwenye uchaguz halitowezekana.
Naona umeamua kumdanganya mwenzioHata ikiwa kama nilivyoshauri bado Magufuli atashinda tena asubuhi mapema.
Tume ya uchaguzi amueni moja ili kuwakosesha hoja hao mamluki nalo ni kuhesabu kura hasa ngazi ya u Rais kwa uwazi.
Ukweli ni kwamba Tundu hana uwezo wa kushinda uchaguzi mkuu na kuendelea kujiamini kwake kuhusu hilo ni kupoteza muda tu.
And pls usini address kama mpinzani au mwanachama. Maana sina chama chochote.Acheni uwoga tutawashinda kweupe huyo lissu anawalisha matango pori
Hata ikiwa kama nilivyoshauri bado Magufuli atashinda tena asubuhi mapema.
Tume ya uchaguzi amueni moja ili kuwakosesha hoja hao mamluki nalo ni kuhesabu kura hasa ngazi ya u Rais kwa uwazi.
Ukweli ni kwamba Tundu hana uwezo wa kushinda uchaguzi mkuu na kuendelea kujiamini kwake kuhusu hilo ni kupoteza muda tu.
Hata ikiwa kama nilivyoshauri bado Magufuli atashinda tena asubuhi mapema.
Tume ya uchaguzi amueni moja ili kuwakosesha hoja hao mamluki nalo ni kuhesabu kura hasa ngazi ya u Rais kwa uwazi.
Ukweli ni kwamba Tundu hana uwezo wa kushinda uchaguzi mkuu na kuendelea kujiamini kwake kuhusu hilo ni kupoteza muda tu.
Sumu haionjwi. Sioni ccm wakifanya hilo kosa.Hata ikiwa kama nilivyoshauri bado Magufuli atashinda tena asubuhi mapema.
Tume ya uchaguzi amueni moja ili kuwakosesha hoja hao mamluki nalo ni kuhesabu kura hasa ngazi ya u Rais kwa uwazi.
Ukweli ni kwamba Tundu hana uwezo wa kushinda uchaguzi mkuu na kuendelea kujiamini kwake kuhusu hilo ni kupoteza muda tu.
Nimechoka kuona hii comment(reply).CCM mpya chini ya Bashiru na Chakubanga mbona imeacha kuongelea mambo ya madege na madaraja? Walidhani mwanzoni kuwa wananchi watakula madaraja? Sasa kama wanajua kusoma alama za nayakati wasome. Huu uchaguzi waki mess up wanakwenda kupigwa vikwazo siyo vya dunia hii.. Yaani sisi
Unahisi watu wa sampuli ya kwako mko wangapi? Cheki hapa unavyohangaika na life ila bado unaamini CCM itabadilisha life lakoHata ikiwa kama nilivyoshauri bado Magufuli atashinda tena asubuhi mapema.
Tume ya uchaguzi amueni moja ili kuwakosesha hoja hao mamluki nalo ni kuhesabu kura hasa ngazi ya u Rais kwa uwazi.
Ukweli ni kwamba Tundu hana uwezo wa kushinda uchaguzi mkuu na kuendelea kujiamini kwake kuhusu hilo ni kupoteza muda tu.
Kama mwaweza kufanya hivo sasa kwanini muwaenguwe wagombeaAcheni uwoga tutawashinda kweupe huyo lissu anawalisha matango pori