jingalao JF-Expert Member Joined Oct 12, 2011 Posts 36,197 Reaction score 29,717 Oct 14, 2024 #1 Hii itapelekea wafanyabiashara ikiwemo wenye mitaji midogo kumiliki kifaa hiki na kukitumia. Nachukua mfano wa "lipa namba" ambapo wafanyabiashara wengi wameanza kuichangamkia hata bila promotion kubwa. Bei ya EFD is highly exagerrated
Hii itapelekea wafanyabiashara ikiwemo wenye mitaji midogo kumiliki kifaa hiki na kukitumia. Nachukua mfano wa "lipa namba" ambapo wafanyabiashara wengi wameanza kuichangamkia hata bila promotion kubwa. Bei ya EFD is highly exagerrated
Mtemi mpambalioto JF-Expert Member Joined Aug 23, 2015 Posts 3,436 Reaction score 7,955 Oct 14, 2024 #2 Mbona sku hizi kuna VFD ni laki mbili tu saaafi unatoa risiti popote ulipo