Ili kuinusuru Simba kwa Sasa, Kagere anatakiwa awe anaanza kucheza na kikosi Cha kwanza

Ili kuinusuru Simba kwa Sasa, Kagere anatakiwa awe anaanza kucheza na kikosi Cha kwanza

Kagere ni mchezaj ambae bado Ana uwezo mkubwa tu wa kupachika mabao,hasa has puresha inapokuwa kubwa mbele
Naomba Sana bench la ufund ilifanyie Kaz Hil ili tuinusuru Tim yetu na tulinde heshma tu
Kibabu huyo.
 
Kagere, mbona ameanza mechi nyingi na Hakuna jipya- hata Jana alivyoingia ni Bora hata Morison angebaki, tatizo kubwa la Kagere ni kusubiriia aletewe kwenye box- hawezi kujitafutia na kutengeneza nafasi- mfano ni mshambuliaji wa wenzetu- Mayele, lile goli dhidi ya polisi , Kagere anaweza kazi Ile?
 
Simba Hakuna straika Huyu kagere, mugalu, mugalu n muda wao wa kwenda kusomea ata ukocha
 
Gabadinho ni kama anatokea pembeni, nadhani Mose Phiri anafaa. Kama hela ipo. La sivyo atatua Jangwani
Huyo Gabadinyo alishakuwa Mfungaji bora ligi ya South Africa,
Nilivyo mwangalia Miondoko yake akiwa na mpira namba 9 anacheza bila wasiwasi.
Binafsi sijamfuatilia Moses Phili wa Zambia na kujua uwezo wake.
 
Kagere, mbona ameanza mechi nyingi na Hakuna jipya- hata Jana alivyoingia ni Bora hata Morison angebaki, tatizo kubwa la Kagere ni kusubiriia aletewe kwenye box- hawezi kujitafutia na kutengeneza nafasi- mfano ni mshambuliaji wa wenzetu- Mayele, lile goli dhidi ya polisi , Kagere anaweza kazi Ile?
Morrison hakutakiwa kutolewa jana, kidogo alijitahidi kucheza vizuri.
Badala yake angetolewa Bwalya.
Mi huwa nawasikitia sana hawa vijana wanaolelewa Simba yaani Simba B.
Hawana msaada wowote kwenye Simba A.
Sasa hivi Simba haikutakiwa kuwalilia akina Moses Phili na Mayele.
Hao vijana wa Tim B ndio wangewapumzisha akina Boko, Kagere na Mugalu na kuchukua nafasi zao.
Tatizo wengi hawajitumi na hawana Malengo ya kujiajiri ktk Mpira.
Matokeo yake tunakosa hata wachezaji kwenye timu ya Taifa.
 
Mimi shabiki wa yanga..but Simba kumuacha Rashid Juma,,mpaka Leo sijaacha kushangaa..
Nakuunga mkono asilimia mia,
Dogo alitakiwa kurebishwa vitu vidovidogo tu na alikuwa na kipaji na anajituma sana uwanjani.

Hata mechi na AS. Vita chama alipo funga goli la ushindi mpira ukirukwa na Niyonzima Rashidi alichangia sana kuongeza kasi ya mashambulizi.
Hata Ndemla alitakiwa kuongezewa umakini wa umaliziaji tu, hakuwa mbaya kihivyo.
Tatizo la Makocha wengi wanataka mchezaji aje mwenye kipaji cha kucheza vizuri tu hawana muda wa kujua kasoro ya mchezaji na kumrekebisha.
 
[emoji94].... Djigui Diara aliondoka akiacha Simba ina point 24

Anarudi anakuta Simba ina point 25

Anajiuliza Ligi ilisimama au???!![emoji848][emoji848][emoji28][emoji28][emoji28]
 
Screenshot_20220131-082148_Instagram.jpg

Naona jana mmeifunga timu mliyo ilea wenyewe, hongereni kwa kukuza vipaji.
 
Back
Top Bottom