Kibabu huyo.Kagere ni mchezaj ambae bado Ana uwezo mkubwa tu wa kupachika mabao,hasa has puresha inapokuwa kubwa mbele
Naomba Sana bench la ufund ilifanyie Kaz Hil ili tuinusuru Tim yetu na tulinde heshma tu
Napenda Sana avatar yako inanifurahisha
Huyo Gabadinyo alishakuwa Mfungaji bora ligi ya South Africa,Gabadinho ni kama anatokea pembeni, nadhani Mose Phiri anafaa. Kama hela ipo. La sivyo atatua Jangwani
Morrison hakutakiwa kutolewa jana, kidogo alijitahidi kucheza vizuri.Kagere, mbona ameanza mechi nyingi na Hakuna jipya- hata Jana alivyoingia ni Bora hata Morison angebaki, tatizo kubwa la Kagere ni kusubiriia aletewe kwenye box- hawezi kujitafutia na kutengeneza nafasi- mfano ni mshambuliaji wa wenzetu- Mayele, lile goli dhidi ya polisi , Kagere anaweza kazi Ile?
Nakuunga mkono asilimia mia,Mimi shabiki wa yanga..but Simba kumuacha Rashid Juma,,mpaka Leo sijaacha kushangaa..
Ukiona hivyo timu haishambulii. Huyu mtu ni balaaMbna hapo kati ameanza mechi nyingi tu na anamaliza hajapiga shuti