Red Giant
JF-Expert Member
- Mar 9, 2012
- 15,657
- 20,967
Binafsi nashauri kigezo pekee cha kupata passport kiwe ni kuwa na kitambulisho cha NIDA tu. Tukiendelea na urasimu uleule hatutaitumia hii fursa vizuri. Watu kibao wanafanyabiashara Kenya ila shida ni utambulisho.
Nina jamaa zangu Wamasai walikuwa wanapeleka sandals Kenya ila wanasema walikuwa wanasumbuliwa sana vibali. Tunaweza kufaidika sana na fursa aliyotoa Kenyatta lakini lazima tuchangamke.
Nina jamaa zangu Wamasai walikuwa wanapeleka sandals Kenya ila wanasema walikuwa wanasumbuliwa sana vibali. Tunaweza kufaidika sana na fursa aliyotoa Kenyatta lakini lazima tuchangamke.