ni kweliBinafsi nashauri kigezo pekee cha kupata passport kiwe ni kuwa na kitambulisho cha NIDA tu. Tukiendelea na urasimu uleule hatutaitumia hii fursa vizuri. Watu kibao wanafanyabiashara Kenya ila shida ni utambulisho.
Nina jamaa zangu Wamasai walikuwa wanapeleka sandals Kenya ila wanasema walikuwa wanasumbuliwa sana vibali. Tunaweza kufaidika sana na fursa aliyotoa Kenyatta lakini lazima tuchangamke.
Napigilia Msumari hapaTatizo serikalini coordination hakuna kila mtu ana sharubu kwenye idara yake.Sasa hivi Kenyatta katoa fursa walitakiwa uhamiaji haraka waweke kipengele cha MTU akitaka passport akiambiwa ya nini akisema naenda kutafuta fursa kama Kenya apewe.Lakini utashangaa Raisi anasema hivi wao wanakwambia lete barua ya mwaliko tukupe passport kubwa!!! Wakenya kupewa passport huulizwi unaenda kufanya nini nchi za watu wanawaachia balozi za nchi husika na maafisa uhamiaji Wa mipakani sisi kitengo cha passport wanajigeuza maafisa Wa kutoa viza kwa niaba ya balozi ili wakupe passport ila lengo kuu rushwa sio kitu kingine
kitengo cha passport kinachangia sana kwa watanzania kukosa ajira na scholarship nje kwa ujeuri wao wa kutoa passport.Pia kinachangia sana kuzalisha wahamiaji haramu m
Nchi kama Afrika kusini wasio na passport wanaorudishwa nchini ambao kule hawana kosa lingine lolote zaidi ya kuwa hawana passport
Mama Samia usione vijana wengi hawana ajira na hawana scholarship wanapata wahindi kitengo cha passport ni jipu
Mama Samia akitokea mtanzania yeyote kurudishwa Nchini kutoka Afrika ya kusini kisa hana passport fukuza kitengo chote cha passport na bosi wao
Wale wenzio hawana muda wa kupigishana kelele.anabeba kibahasha chake ndani kuna hela nzuri ya kumlainisha ofisa uhamiaji.Mchezo umekwishaWahindi na wapemba wanaongoza kupata passport ila ngozi ya t.a.k.o hatupewi utasimbuliwa wewe kama gaidi vile wakija hao weupe faster wanapewa....sijui nani ameturoga wallah ....
Kweli kabisa zingatia pia wanalazimisha uraia maana pia wana uraia india wengine Oman etc....wanakuwa safe wakiwa passportWale wenzio hawana muda wa kupigishana kelele.anabeba kibahasha chake ndani kuna hela nzuri ya kumlainisha ofisa uhamiaji.Mchezo umekwisha
Wahindi na wapemba wanaongoza kupata passport ila ngozi ya t.a.k.o hatupewi utasimbuliwa wewe kama gaidi vile wakija hao weupe faster wanapewa....sijui nani ameturoga wallah ....