mrangi
JF-Expert Member
- Feb 19, 2014
- 88,759
- 123,368
Watoto zenu wenyewe sahv hamuwalei kwenye mazingira ya kufanya kazi mitoto inakuwa lonyalonya tu
Mitoto hata kulima bustani nankufanya kazi ndg ndg nyumbani hawawezi
Tofauti na tulivyolelewa sisi
Mitoto kutwa kuahinda kuangalia tamrhilia za kishoga ,na kukata mauno
Ova
Mitoto hata kulima bustani nankufanya kazi ndg ndg nyumbani hawawezi
Tofauti na tulivyolelewa sisi
Mitoto kutwa kuahinda kuangalia tamrhilia za kishoga ,na kukata mauno
Ova